Ashukuru mungu aliambiwa na yeye aende maana next time atakumbuka kumuandalia mumewe birthday party au hata kumualika chakula cha jioni kama hela ya kuandaa party hatakua nayo, mwingine ndio hata asingeambiwa mwanaume angejiondokea kimya kimya kujirudia usiku amelewa
DC + Asprin = Mmekuwa wakali sana kwenye hili kulikoni???
Mmmhhh unamauzoefu yakutosha aisee
Hapana DA,
Mimi naamini kama ulishaachana na mtu basi muachane kabisa. Hakuna sababu ya kuanza eti mnakuwa na urafiki wa kawaida. Ni wa nini? Kama mlishindana hadi mkabwaga manyanga...sasa hivi mnatafutana nini?
Ndo maana nasema hapo kuna urafiki wa mashaka...Na hakuna jingine. Ila na hao wenzi wao wanaoruhusu hayo mambo wanaweza kuwa ni naive (kama malaika au mazuzu), hawajui kama wanibiwa au wanacheza diplomatic way kwa sababu nao labda wana mambo yao wanaficha. Nadhani kuka axis of evils hapo! Hii si bure!
Hiyo red nimekusoma na ni ukweli kabisa eti wengine husema kwani tuliachana kwa ugomvi mara visingizio kibao ila lakini tukikutana kusalimiana ruksa eti DC au nayo noma??
DA,
Kama ulipita jeshini...wana principle moja kwamba hakuna kurudi nyuma. Ukirudi unasababisha casuality kwa wenzio. Nadhani hiyo ina-apply hapa.
You are right, ila inaweza kuwa zuga ili maza house ajue ni marafiki wa kawaida tu.. hata siku akiwafuma impossible engles aweze kumwaga mistari
imekaa vema na ya kupendeza sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! big up to her!!