Hii imekaaje wapendwa

Hii imekaaje wapendwa

Binafsi sina na sitaki hata kidogo kusikia mambo ya ma-ex kwenye mahusiano yangu.

Hapo hakuna kitu kingine zaidi ya urafiki wa mashaka!
 
Hapo wizi unaendelea, yaani hao wakikutana faragha huwa wanakumbushia. Huyo bibiye mwenye ndoa achunge mzigo wake, vinginevyo utauppteza.
 
Ashukuru mungu aliambiwa na yeye aende maana next time atakumbuka kumuandalia mumewe birthday party au hata kumualika chakula cha jioni kama hela ya kuandaa party hatakua nayo, mwingine ndio hata asingeambiwa mwanaume angejiondokea kimya kimya kujirudia usiku amelewa

You are right, ila inaweza kuwa zuga ili maza house ajue ni marafiki wa kawaida tu.. hata siku akiwafuma impossible engles aweze kumwaga mistari
 
Binafsi sina na sitaki hata kidogo kusikia mambo ya ma-ex kwenye mahusiano yangu.

Hapo hakuna kitu kingine zaidi ya urafiki wa mashaka!

DC + Asprin = Mmekuwa wakali sana kwenye hili kulikoni???
 
Hapo wizi unaendelea, yaani hao wakikutana faragha huwa wanakumbushia. Huyo bibiye mwenye ndoa achunge mzigo wake, vinginevyo utauppteza.

Hata mimi naanza kupata wasiwasi huo
 
You are right, ila inaweza kuwa zuga ili maza house ajue ni marafiki wa kawaida tu.. hata siku akiwafuma impossible engles aweze kumwaga mistari

Hiyo red inamaanisha kweli kabisa
 
DC + Asprin = Mmekuwa wakali sana kwenye hili kulikoni???

DA,

Kama ulipita jeshini...wana principle moja kwamba hakuna kurudi nyuma. Ukirudi unasababisha casuality kwa wenzio. Nadhani hiyo ina-apply hapa.
 
Sawa nimekuelewa point of no return siyo?? Nimekusoma mkuu
 
Hapana DA,

Mimi naamini kama ulishaachana na mtu basi muachane kabisa. Hakuna sababu ya kuanza eti mnakuwa na urafiki wa kawaida. Ni wa nini? Kama mlishindana hadi mkabwaga manyanga...sasa hivi mnatafutana nini?

Ndo maana nasema hapo kuna urafiki wa mashaka...Na hakuna jingine. Ila na hao wenzi wao wanaoruhusu hayo mambo wanaweza kuwa ni naive (kama malaika au mazuzu), hawajui kama wanibiwa au wanacheza diplomatic way kwa sababu nao labda wana mambo yao wanaficha. Nadhani kuka axis of evils hapo! Hii si bure!
 
Hiyo red nimekusoma na ni ukweli kabisa eti wengine husema kwani tuliachana kwa ugomvi mara visingizio kibao ila lakini tukikutana kusalimiana ruksa eti DC au nayo noma??
 
Kusalimiana haina tatizo DA....ishu ni kupangiana hadi sherehe!
 
DA,

Kama ulipita jeshini...wana principle moja kwamba hakuna kurudi nyuma. Ukirudi unasababisha casuality kwa wenzio. Nadhani hiyo ina-apply hapa.

Babu DC shikamoo nimekumiss sana babu yangu pamoja na busara zako. Naona leo umekua mkali sana kuhusu hili suala lakini ikumbukwe wanaume ndio mara nyingi hata kama mmeachana atakufuata fuata mpaka basi na sio mmoja yaani wengi wao sasa sijui unatusaidiaje sisi wajukuu zako kuhusu hii mitego ya wanaume tulioachana nao.
 
imekaa vema na ya kupendeza sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! big up to her!!
 
You are right, ila inaweza kuwa zuga ili maza house ajue ni marafiki wa kawaida tu.. hata siku akiwafuma impossible engles aweze kumwaga mistari

Yaani hiyo ni mfano mbaya kwa jamii, maza house alipaswa kutoa onyo kali ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama hiyo na hao wahusika ili wasirudie tena huo ufenenge wao. Ucheka na nyani utavuna mabua. NDOA NA IHESHIMIWE
 
imekaa vema na ya kupendeza sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! big up to her!!

Hahahaaa imekaa vyema susy ukimkuta mwenye mali mwenye hasira anaondoka na sikio lako moja. Ni mchezo hatari sana huu
 
Back
Top Bottom