Weee acha AD,
Unaweza kuwaza mengine ila siyo kushea kitanda na mtu..Ingawa wakati mwingine tunaaanguka majaribuni na kujikuta wenyewe tumeshaingia mikononi mwa shetani.
Hata ikitokea hivyo basi tufiche badala ya kuanika hadharani utadhani tumefanya jambo la maana sana linalostahiri Nobel prize...!!!!
DC hiyo bluu ni aje hapo??
Pole na hongera sana dada,
Naona sasa unampa nafasi nzuri shemeji akaandaliwe birthday za nguvu..Usishangae kila baada ya mwezi au miwili anafanyiwa birthday.. Ukizingatia siku hizi mtu haendi labour kabla ya kukaa kitandani karibia 4mon (bed rest)!!
Duuuu....Hii dunia ni tambala bovu...Laiti mioyo ingekuwa kama kiooo...Mortuary zisingetosha wallah!!
kaka temea mate chini ucniombee hayo......kwenye dbay mwanialike tu mie nicjue nikijua imekula kwao wote wawili kwa kunidhalilisha....hv y ategee nipo kwenye hali hii ndio bday zifululize? kaka wacha tu maisha tambara bovu kweli kuwa uyaone.
Mmmmmmhhhhhh
Siyo hasira AD, sitaki watu wanaondekeza rongo rongo kwenye 18 za wenzao. Binafsi nisingependa kumfanyia hivyo bibi (ingawa ni ngumu ki vitendo) na kwa hiyo sitaki kusikia mtu anakaribia hayo maeneo yangu ya kujidai. Bahati yao nilisahau dawa yangu kule Ukerewe, ningewatumia radi iwacharaze hata kama ni jangwani!!
DC hiyo bluu ni aje hapo??
Halafu kweli dena babu anaongea na mjukuu mwingine kumbe mawazo yake yako kwa mwingine babu una kesi ya kujibu hapa
DC hiyo bluu ni aje hapo??
Samahani, nilimaanisha DA na siyo AfroD.
Halafu wewe leo sijui unanini au ulikunywa Castle Light nini?? Maana toka asubuhi una mambo kweli hata sikuelewi kabisa
Halafu kweli dena babu anaongea na mjukuu mwingine kumbe mawazo yake yako kwa mwingine babu una kesi ya kujibu hapa
Hapana Maty,
Major mstaafu DC (zamani akiitwa babu DC) huwa hachanganyi majiografia. Nilimaanisha DA kweli kweli. Ila hawa nao wamezidi kufananisha majina... Ni sawa na sura yako ukiiangalia kwenye kioo. Sikio la kulia linakuwa kushoto!
Nilidhani ni ex wako nikaogopa unaongea na DA kumbe unamuwaza AD
Halafu wewe....sasa unataka kuchezea maeneo ya hatari...Mimi na ma-ex ni kama maji na mafuta....
Hebu kwanza niombe ladhi kabla hatujasonga mbele!
heheeh si mgomvi namuacha akale besdee vizuri,,,,