Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.
Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.
Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.
Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake......