Hii imekaaje wapendwa

Hii imekaaje wapendwa

Weee acha AD,

Unaweza kuwaza mengine ila siyo kushea kitanda na mtu..Ingawa wakati mwingine tunaaanguka majaribuni na kujikuta wenyewe tumeshaingia mikononi mwa shetani.

Hata ikitokea hivyo basi tufiche badala ya kuanika hadharani utadhani tumefanya jambo la maana sana linalostahiri Nobel prize...!!!!

DC hiyo bluu ni aje hapo??
 
Pole na hongera sana dada,

Naona sasa unampa nafasi nzuri shemeji akaandaliwe birthday za nguvu..Usishangae kila baada ya mwezi au miwili anafanyiwa birthday.. Ukizingatia siku hizi mtu haendi labour kabla ya kukaa kitandani karibia 4mon (bed rest)!!

Duuuu....Hii dunia ni tambala bovu...Laiti mioyo ingekuwa kama kiooo...Mortuary zisingetosha wallah!!

kaka temea mate chini ucniombee hayo......kwenye dbay mwanialike tu mie nicjue nikijua imekula kwao wote wawili kwa kunidhalilisha....hv y ategee nipo kwenye hali hii ndio bday zifululize? kaka wacha tu maisha tambara bovu kweli kuwa uyaone.
 
Habari za siku luv?

Una habari mawahala huwa hawaachani? Hata wewe ruksa kukumbushia na mimi.
 
Siyo hasira AD, sitaki watu wanaondekeza rongo rongo kwenye 18 za wenzao. Binafsi nisingependa kumfanyia hivyo bibi (ingawa ni ngumu ki vitendo) na kwa hiyo sitaki kusikia mtu anakaribia hayo maeneo yangu ya kujidai. Bahati yao nilisahau dawa yangu kule Ukerewe, ningewatumia radi iwacharaze hata kama ni jangwani!!

hahahaha babu umenichekesha asante kwa kunimalizia siku yangu na kicheko lol
 
Halafu wewe leo sijui unanini au ulikunywa Castle Light nini?? Maana toka asubuhi una mambo kweli hata sikuelewi kabisa

Aaaah nitake radhi ninywe kesto laiti mm? umesikia mm mgonjwa mpaka ninywe hizo zisizo shibisha?
 
Halafu kweli dena babu anaongea na mjukuu mwingine kumbe mawazo yake yako kwa mwingine babu una kesi ya kujibu hapa

Hapana Maty,

Major mstaafu DC (zamani akiitwa babu DC) huwa hachanganyi majiografia. Nilimaanisha DA kweli kweli. Ila hawa nao wamezidi kufananisha majina... Ni sawa na sura yako ukiiangalia kwenye kioo. Sikio la kulia linakuwa kushoto!
 
Aaaah nitake radhi ninywe kesto laiti mm? umesikia mm mgonjwa mpaka ninywe hizo zisizo shibisha?

Thubutu nikutake radhi wakati bado unahang' over!! Na ushazimua tayari aakkhh
 
Kwa kweli hii imekaa mbaya..kwanza huyo mke cha kutokumbuka birthday ya mwenzie?
Na hao wawili kufanyiana besdei pati inahusu?kwanini na wameanzaje na wanawasiliana ili iweje hata kama hamkugombana
wote wana mume/mke kwanini uhangaike na ex?
na huyo mdada mumewe angekuwepo angefanya hiyo pati au ndo kutake advantage?
Kuna kakitu kanaendelea kati ya huyo mume wa mtu na muke wa mtu looh..sijapenda
 
Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.

Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.
Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.

Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake......
 
Huku kujipendekeza kwa huyu Dada sijui Mama kwa EX wake mi SIJAKUPENDA HATA KIDOGO.

Hata kama waliachana kistaarabu lakn bado si sababu tosha ya yeye kumfanyia hiyo Party EX wake,,lakin pia huyo mwandaa pati ana lake jambo,,,,si tulie kwenye ndoa yake?? asubiri kuandaa party ya mumewe tu na wengine wanaomhusu, lakin ya EX mmmhh haimhusu.

Zinatosha pati alizomwandalia kipindi kileee wapo pamoja ,,,,lakin kipindi hiki amwachie mwenye mume ndiyo aandae pati ya mumewe.

Hata kama mke anasahahu hilo siyo issue yake yeye, hiyo ni issue ya mke na mume tu.

Anajipendekeza kwenye ndoa ya mwenzio kujifanya yeye anamjali saaaana mume wa mwenzie.........Kama alishindwa kuoana na EX basi atulie tu asianze kuingiza upupu kwenye ndoa ya EX wake...
 
Back
Top Bottom