Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Kwa kifupi mke wa mwenye birthday ni **** wa kutupwa na huyu mke wa mtu anayeleta hawara yake kwenye matrimonial home kwa kisingizio cha sherehe ni mshenzi ameoza hafai na mwanaume anayekubali kufanyiwa sherehe kwenye nyumba ya mwanaume mwenzie ni mbwa takataka na kifo kinamsubiri.Dena hebu nipe namba ya simu ya mume ambaye unasema kasafiri nimweleze kila kitu kilichojiri,hawezi kufanyiwa uharamia hivi na sisi tunaangalia tu.