Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

Nenda njombe mkuu, kwa hiyo hela kilimo cha parachichi, unaweza nunua kijiji kizima.
Ahsante ndg,nimetoka uko wiki mbili zilizo pita nina kajishamba kangu ka Miti,kijiji cha Lucas nimejionea wakulima wa parachichi wanavyo angaika,wanunuz wanakuwa na yale matrey yao wana soti yale mazuri alafu wana nunua kwa bei ya maumivu sasa wanakuachia yale madogo wanakuumizia hapo unajikuta unauza mzigo mkubwa kwa bei ndogo.unawaza ata ukibaki nayo yatakuozea tu unaamua kuuza kwa gharama ndogo.alafu wao wanunuz wanaenda ku grade kwa size kule kiwandani wanapiga hela tu.
 
1: Hiyo pesa haiwezi kujenga nyumba 11.
2: mawazo yako yamelenga kuzuri sana, umefikiri vyema, sasa..
3: Nunua viwanja vilivyopo sehem nzuri ambazo zinakua, jenga nyumba kwenye baadhi ya viwanja
usisahau kuvitafutia hati ili viwe na thamani
4: Usinunue nyumba, narudia tena usinunue nyumba
5: Hii ndio biashara pekee itakayotunza pesa yako sababu utaweza kuisimamia taratibu.
6: Kuwasimamia wabongo ni kazi sana, usiingize hii pesa kwenye biashara usioijua
namba hazina umuhimu sana, nilitaka kulist tu
 
Fuata Misingi ifuatayo katika Real Estate na Hautojuta....

Other People's Money.....

Property Ladder..., Kwamba ni ngazi na utapanda pole pole unajenga moja watu wanapanga unapata kodi na kutumia hio kama collateral unajenga nyingine and on and on and on.....; Tatizo House being the safety investment sio kama zamani unaweza ukajenga usipate wapangaji au ukapata wakaharibu (especially Bongo watu sio wastaarabu unaweza kutoa ugonjwa wa moyo badala ya Pesa)
 
hii kazi ninayo fanya unatumia msuli sna na pia mda uliotumika ni wa jasho na damu.kwa sasa mataka nipumzike ktk style ya utaftaj nibadili.ndo maana yakurudi hapa chanzo cha madini mengi.kuna watu watanielewa kazi za uchimbaj ni ngumu sna na kilicho nifanya nibadili aina ya kazi nikuona wengi wanapata 800m,500m,150m sasa baada ya muda unakuta hawapo tena ktk ramani.inabaki historia tu sasa niliona nahitaj badiliko.
Ndio mana Jenga nyumba utapumzika mkuu, pia Tenga Kama 10M uwe unawasagia wanakuachia seneti
 
Wenye uzoefu mnisaidie msinichoke mmi mafanikio yametokana na familia hii ya jf.mwenye kufahamu ABC za kununua nyumba alafu unaikarabati unaiuza.changamoto zikoje wenye uzoefu au wamesha ona ahsante.
Nakushauri usinunue nyumba liliyoko tayari sababu huwezi jua ujenzi wake ni WA ubira kiasi gani unaweza Lia.
Jenga mwenyewe utakomaa na mafundi kupata kilicho Bora.
 
Mkuu mie nakushauri usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma kwa sababu zifuatazo:
1-risk Ni ndogo
2- hakuna kushuka thamani ya bidhaa yako i.e Iyo nyumba ukisema uje kuuza after 10yrs utaweza uza like 600M.
3- both mental and financial capital ziko salama mno hakuna usumbufu na watu ama wafanyakazi otherwise like ukinunua coaster ama hiace ama bizness ingine.
4- unaweza ukazichukulia mkopo wa kujenge zingine tano Sasa ukawa na nyumba 15 so zote hizo 15 zikawa zinatumika kulipa mkopo. You've to leverage with others money, time, and all resources ili usonge mbele.
Sasa unazo 15 kwa 3m kwa mwaka unazo 45M Kama umechukua mkopo wa 160M utaulipwa nadhani ndani ya 5yrs umemaliza mkopo wao mkuu.

Baada ya hapo unachukua Tena mkopo wa nyumba 10 ambao Ni 350M unajenga zingine 10 jumla una nyumba 25 so kwa mwaka 75 Ni ndani ya miaka mitano unamaliza mkopo wao, yaani unaendelea ivyo ivyo mkuu kikubwa discipline ndio kila kitu. Fungua akaunti kwa ajili ya huo mradi yaani hela ya Kodi ya nyumba usiishike ikiwekwa huko benki wanachukua Chao ama ufungue loji uweke CCTV kamera uwe unazifuatilia japo zinahitaji close monitoring.

5- hakuna Cha economic crisis i.e inflation kwako ujue.
6- urithi mzuri kwa kizazi chako kwa baadaye na unaweza ukawa na real estate business ya uhakika baadaye ukaifnaya ikawa ama ukaisajili na abnb kwa ajili ya kupata wateja wa nje.


Naomba usirudi nyumba. Wekeza kwa basic needs za binadamu like houses aka shelter ,foods iwe isiwe lazima watu watakula ama watalala hakuna ku spare hizo basics.

Yangu Ni hayo mkuu.

Waza for 30 yrs to come utakuwa mbali mno yaani Ile uko like 60/70s wenzako wanakutamania mno yaani mno.

Yaani utashangaa unakuwa na jina na unapewa uenyekiti ccm mkoa ama wilaya Mara mbunge,kumbuka like attracts likes.
Hapo ndipo utachukua mkopo wa bilioni plus na kushusha vitu vyako kila mji mkubwa hapa tz.

Nakuombea uendelee ivyo ivyo yaani uwe litajiri ili utoe ugali kwa vijana wengi mno mtaani.


Vijana wangekuwa waaaminifu ningekuambia agiza boda zako like 150, halafu wape vijana kila boda now mktaba halafu usiwe na tamaa wewe waambie kuwa unahitaji profit ya laki sita kila boda hizi unaagiza direct from China. So kwa hizo boda zako 150*.6 unazo 90M kwa mwaka ukifanya like 10 yrs you're untouchable sema Sasa sie wazembe tunapenda kula asali pasipo kung'atwa na nyuki ujue.
Ama tunawaza kuiba ,na ndio Mana afrika matajiri Ni wachache ambao sio politicians or sio wezi ama wa magendo
Umeharibu uzi kwa kuweka ccm upuuzi,
 
Umeharibu uzi kwa kuweka ccm upuuzi,
The person with the negative attitude thinks “I CAN’T.”
The person with the positive attitude thinks “I CAN.”
The person with the negative attitude dwells on problems.
The person with the positive attitude concentrates on
solutions.
The person with the negative attitude finds fault with
others.
The person with the positive attitude looks for the good
in others.
The person with the negative attitude focuses on what’s
missing.
The person with the positive attitude counts his or her
blessings.
The person with the negative attitude sees limitations.
The person with the positive attitude sees possibilities.
I could go on and on with examples, but I’m sure you
get the idea. When I talk to audiences about attitude, I
often like to use word pictures. They help people to understand and remember what I said. Let me paint this picture
for you: Your attitude is your window to the world.
Everyone Starts With A Clean Mental
Window.


So kwa uko sahihi mkuu kulingana na huyu hapa jamaa mie sijakukatalia so keep going on or keep it up with. Since attitude is everything.
 
The person with the negative attitude thinks “I CAN’T.”
The person with the positive attitude thinks “I CAN.”
The person with the negative attitude dwells on problems.
The person with the positive attitude concentrates on
solutions.
The person with the negative attitude finds fault with
others.
The person with the positive attitude looks for the good
in others.
The person with the negative attitude focuses on what’s
missing.
The person with the positive attitude counts his or her
blessings.
The person with the negative attitude sees limitations.
The person with the positive attitude sees possibilities.
I could go on and on with examples, but I’m sure you
get the idea. When I talk to audiences about attitude, I
often like to use word pictures. They help people to understand and remember what I said. Let me paint this picture
for you: Your attitude is your window to the world.
Everyone Starts With A Clean Mental
Window.


So kwa uko sahihi mkuu kulingana na huyu hapa jamaa mie sijakukatalia so keep going on or keep it up with. Since attitude is everything.
Upuuzi
 
Hivi Unajisikia Unachoandika Rudi kasome vitabu Vya Robert Kiyosaki Tena Umeandika Madudu
Aisee kweli una matatizo sio bure....,

Moja Kiyosaki ana mawazo gani original ? (au amecompile / ali-compile some real life issues na kuziweka kwenye maandiko) kusoma maandishi sio be it end all bali ni kuongeza knowledge fainali ni mtaani...

Statement ya Other people Money ni Financial Slang (ikimaanisha leverage) na ipo since beginning of time...

Mwisho kabisa nimetoa angalizo kwa Mdau Nyumba zamani ilikuwa ni safety investment (hence the statement as safe as houses) lakini karne hii mambo yamebadilika unaweza ukajenga wapangaji usipate na mkono wa Serikali ukawa unapita kila wakati hence badala ya kupata ukawa unapoteza; ila advantage ya collateral kama una mengi ya kufanya huenda ukazitumia hizo kupata mikopo ya kufanya mengine
 
Kama ni real estate business.. hiyo return ya kama 8 to 9% kwa mwaka ni sawa kabisa..

Faida yake kubwa utaiona kwenye capital gain endapo value ya hizo nyumba ikipanda thamani..

Na faida nyingine ni kwamba kama una biashara nyingine hizo utazitumia kama collateral ya kupata mkopo.

So unaweza kutumia hiyo 330 million ila ukifanya valuation hapo unaweza kushangaa unapata hata mkopo wa milioni 500 then unai leverage kwenye uwekezaji mngine..

Ndo wealth creation inavofanya kazi hivo..
Hawawezi kukuelewa wanadhani ukishajenga ni kupokea Kodi tu.

Trump yule pale ana ma real estate Kila kona ndio mchezo yao.

Familia yake na vizazi vyake hawatakuwa kuwa na shida ya Hela Wala ajira.

Nyumba unayojenga Sasa value yake haiwezi Baki hivyo miaka yote ya kubreakeven capital.

Wala Kodi pia haitobaki hivyo hivyo

Nyumba zinapanda Bei na Kodi zinapanda juu Kila siku Kuna inflation.

As long as you know how to deal with inflation real estate ni smart investment ni real deal

Wanaoponda humu hawajui

Halafu hizi mambo Zina buy your working time na kufanya uwe free kwenye mitakisi kadha wa kadha.
 
Achana na kiswangilishi Jaribu kuongea Lugha Moja Inayoeleweka kama Ni English tupu Ama kiswahili Madudu Unayoandika Yanatia Uvivu Atakuyasoma Kiufupi Sijasoma Ulichoandika Mangi Ni Upuuzi
Sasa yeye na wewe anayeandika madudu si wewe?
 
Back
Top Bottom