evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Jenga nyumba bro.hii kazi ninayo fanya unatumia msuli sna na pia mda uliotumika ni wa jasho na damu.kwa sasa mataka nipumzike ktk style ya utaftaj nibadili.ndo maana yakurudi hapa chanzo cha madini mengi.kuna watu watanielewa kazi za uchimbaj ni ngumu sna na kilicho nifanya nibadili aina ya kazi nikuona wengi wanapata 800m,500m,150m sasa baada ya muda unakuta hawapo tena ktk ramani.inabaki historia tu sasa niliona nahitaj badiliko.
Kuna principle moja kubwa kwenye uwekezaji na risk.
The lower the risk , the lower return, the higher the risk the higher the return
Uwekezaji wa nyumba za biashara una low risk na return yake ni ndogo
Kipato chake kinaitwa passive income, fedha inaingia bila kutumia jasho .
Nyumba zinazolipa haraka ni guest house au lodges ila kupangisha familia inalipa kidogokidogo.
Kama vipi kwa hela yako hiyo unawezajenga Lodge sehemu iliyochangamka ukarudisha fedha haraka.
Aisha uwekezaji unaolipa haraka ila una risk kubwa sana ni biashara ya usafirishaji ie daladala.
Mimi na mpango nikifikisha virental 15 na hamia kwenye usafirishaji.
Nakushauri Kwa hiyo fedha tafuta eneo zuri jenga nyumba za kupangisha vyumba 3 ni vingi unaweza pata shida kupangisha Kwa haraka, jenga vyumba 2 choo ,jiko na sebule na vingine jenga Chumba 1 ,sebule choo na jiko utapangisha Kwa haraka na utakuwa na unit nyingi.
Utakuwa unakula kilaini.
Kuna Mzee wangu flani kutumia 300 m kajenga nyumba za kupangisha ya vyumba 2 kimoja master ,public toilet jiko na sebule.kapangisha kila moja laki 3