Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

Kama ni real estate business.. hiyo return ya kama 8 to 9% kwa mwaka ni sawa kabisa..

Faida yake kubwa utaiona kwenye capital gain endapo value ya hizo nyumba ikipanda thamani..

Na faida nyingine ni kwamba kama una biashara nyingine hizo utazitumia kama collateral ya kupata mkopo.

So unaweza kutumia hiyo 330 million ila ukifanya valuation hapo unaweza kushangaa unapata hata mkopo wa milioni 500 then unai leverage kwenye uwekezaji mngine..

Ndo wealth creation inavofanya kazi hivo..
Kweli mkuu ngoja nami nijazie jazie nyama kidogo, biashara ya nyumba inabid uwe na akili kidogo kuna mzee mmoja wa makamo nliwah kukaa na tukawa tunapiga stori kama hizi, huyu mzee mbezi beach ananyumba kibao na kajenga hizo nyumba kwa hela mingi sana na anasema kodi kwa mwezi inarange kwenye laki 7-8 lets say nyumba moja kajenga kwa 150m na ananyumba tano, total cost yake ni 750m, tuseme kwa laki 7 kwa nyumba 5 kwa mwaka ni 42,000,000/=. ila huyu mzee ana frame nyingi pia hapa mjini maaeneo potential , ambapo kwa 150m ya kujenga nyumba moja mbezi alijenga frame nzuri 6-7 kwa 150m each ambayo moja anakodisha kwa laki 3-4 lets say zipo 7 kwa laki 3 kwa mwezi kwa mwaka anapata kama 25m you can spot the difference right ?, so sometimes it depends on how you look into things na maeneo uliyo nayo(land). Huyu mzee alikuwa ananiambia hii story kama funzo alikosea namna ya ku-allocate funds zake sababu maeneo ya kujenga maframe alikuwa nayo. Anyways wakuu muda mwingine unawatafuta mabosi unadondosha hennessy mezan mnapiga story wanakupa mbinu za kivita za kujikwamua financially, kwa leo tuishie hapa...
 
Habar za mda huu ndg na Jamaa ktk jukwaa hili.

Mimi binafsi akili imegoma Kujenga nyumba 11, kila nyumba iwe na vigezo vifuatavyo.

1.S/room 1
2. Vyumba vya kulala viwili kimoja master
3. Jiko
4. dining
5. choo cha public
6. stoo (nje ya gharama ya viwanja)sasa hii nyumba ikamilike ya kisasa itaghalimu 30m.

Kwa idadi ya nyumba 11 itaghalimu 330M.

kutokana na Mkoa husika kwa thamani ya nyumba hiyo utapangisha kwa gharama ya 2,500,000M, ikitokea bahati ukapangisha kwa 3M.

Sasa twende kwenye point unawekeza 330M unakuja kupata return yake kwa mwaka 27,500,000M.

Huu kitu imenifanya nione utajenga kama sifa ila siyo kuwa utakuwa na hela, maana ili uwanze kupata faida nimiaka 11, 12 toka umeanza kuweka vichwa.

Tusaidiane mawazo ndg ZANGU namna yakutengeneza utajiri wa akili, fikra na mitazamo mipana zaidi, najua wapo walio wekeza sehemu tofauti tofauti ila kwa nyanja Nyingine tofauti na ujenzi na wanapiga hela naomba MAWAZO yenu mitazamo yenu pia.

Hofu yangu unaweza ukawekeza kiasi kidogo lakini return yake kwa mwaka ukaipata ata ndani ya miezi 6, hiki ndo ninacho kihitaji ndg ZANGU.

Pia sina maana mbaya yakuwa watu wasiwekeze ktk nyumba hapana ila kwa Mimi hesabu zangu zinakataa tu, kama kwa kulenga kizazi chako ndo kiwape faida sawa, ila kwa Mimi ambaye nakitazama hicho kinanipa shida Ki-fikra.

Baada ya miaka 10 ukiwekeza hii Pesa ndo ninako jiona ila siyo ktk nyumba,
msaada wenu wadau.

Ahsante.
Biashara ya real estate kwa tanzania watu wanatumia kuhifadhi hela. Ili ikulipe labda ujenge ili uuze. Unless watakuja kufurahia wanao miaka hiyoooo
 
Asante sana kwa muongozo wako. Na nimekupata vzr..
JE kuna hii nyingine unauelewa nayo kama ndio naomba msaada wako kwa uwekezaji wa 20 million kwa mwaka mmoja kwenye LIQUID FUND. Nitapata kiasi gani cha gawio
LIQUID FUND ninayoijua mimi ni miongoni mwa mifuko iliyopo UTT-AMIS. Nadhani unajua UTT-AMIS ni nini hakuna haja ya kuelezea hilo, ila kama hujui basi nijuze nitakuelezea.

Moja ya sifa ya mifuko ya UTT-AMIS interest yake hubadilika mwaka hadi mwaka kulingana na hali ya soko, inaweza ikapanda pia inaweza kushuka: Kwa mfano

2021/22 interest ilikuwa ni 14.7%
2020/21 interest ilikuwa 15.30%
2019/20 interest sikupata kujua ni kiasi gani
2018/19 interest ilikuwa 11.49%
2017/18 interest ilikuwa ni 13.79%
2016/17 interest ilikuwa ni 15.38%
2015/16 interest ilikuwa ni 13.4%

Kwa interest hizo basi, Kama ungewekeza 20M mwaka 2015 gawio lako lingekuwa kama ifuatavyo

2015/16 ungepata 2,680,000
2016/17 ungepata 3,488,184
2017/18 ungepata 3,236,671
2018/19 ungepata 2,669,893
2020/21 ungepata 3,468,493
2021/22 ungepata 3,449,868

Umeona gawio linavyopanda na kushuka? Sababu zipo nyingi ila magawio yao ni mazuri pia. Faida nyengine ya kuwekeza UTT-AMIS, wanatoa compound interest sijui kwa Kiswahili inaitwa vipi hii. Lakini ni nzuri alafu pia huwezi ipata kwenye T-BONDS

Nitakuelezea kwa mfano kuhusu hii Compound Interest.

Mfano
Umewekeza 20M alafu wakatangaza interest ni 13.4% ina maana utapata gawio la 2,680,000. Pesa ya uwekezaji na gawio lako ukaviacha hukuchukua, ina maana utakuwa jumla ya TSH 22,680,000 katika uwekezaji wako. Mwaka unaofuata wakitangaza interest nyengine watapigia hesabu ya pesa iliyopo katika uwekezaji wako kwa wakati huo, yaani 22,680,000 na sio tena 20M. Kwahiyo kama watatangaza faida ni 13.4% basi gawio lako litakuwa 3,039,120 na sio 2,680,000 kama mwaka uliopita.
Umeona gawio lilivyozidi kushindamwaka uliopita?

Hiyo ndo compound interest sasa ila kama ulichukua pesa yako wao wana'calculate pesa iliyomo katika muda husika.

Faida zipo nyingi nyingi,

Faida nyengine ya kuwekeza kwenye huu mfuko unaweza kuuza sehemu ya uwekezaji wako au wote na kupata pesa zako ndani ya siku 3 za kazi.

Wanatoa faida shindani kulinganisha na taasisi zengine za uwekezaji. Ofisi zao zipo mikoa yote nadhani. Ila kwa hapa Dar wapo mtaa wa Ohio jengo la Sukari floor namba mbili.

Fika pale watakupa utaratibu wote, na taarifa zote.
KARIBU SANA
 
Hivi naomba kuuliza, hivi huu mfuko nani anamiliki, nataka kuwekeza ila naogopa isijekuwa kama JATU.

Mimi mwajiriwa wa Serikali na kimshahara change kidogo, nimefanya mchongo nimeiba milioni 100 ofisini ila zinanichsnganya nifanyie nini
 
nyumba hiyo utapangisha kwa gharama ya 2,500,000
Hii ni sawa na TZS. 115,000 kwa siku [Nimechukua siku 20 za kazi ukiondoa Jmosi na Jpili]
- Nisawa na US $50 [Nime chukua $1 = TZS 2,300]

Je nataka kuzungumza nini
- Kwa mtaji wa $2,500 tu una uwezo wa kuingiza hicho kiasi $50 kwa siku

Hitimisho | Kiasi anachowekeza 330m hakiendani na faida inayopatikana.
==
BTW nilikuwa na type huku naangalia floating plofit/Loss
1663221378740.png
 
Hivi naomba kuuliza, hivi huu mfuko nani anamiliki, nataka kuwekeza ila naogopa isijekuwa kama JATU.

Mimi mwajiriwa wa Serikali na kimshahara change kidogo, nimefanya mchongo nimeiba milioni 100 ofisini ila zinanichsnganya nifanyie nini
UTT-AMIS sio mfuko ni taasisi/kampuni, ni kampuni inayosimamia mifuko sita ya uwekezaji wa pamoja. Ambapo moja ya mfuko ndo huu LIQUID FUND tuliokuwa tunajadili hapa.

UTT-AMIS ilianzishwa mwaka 2003 chini ya Wizara ya Fedha. Ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa chini ya sheria ya udhamini(sheria ya dhamana namba 318)

UTT-AMIS ni wasimamizi bora wa mifuko wala usiogope kuwekeza fedha zako. Ina rekodi nzuri ya ufanisi, utendaji kazi na hata matokeo yake ni mazuri tangu kuanzishwa kwake.

Cha msingi kabla ya kuwekeza huku, ni muhimu kujua malengo yako ni yapi. Hiyo itakuwa rahisi kwako wewe kama muwekezaji kuchagua mfuko uliyo bora kwako, utakaokidhi haja zako katika kufikia malengo yako husika

Mwaka 2015 Jumuiya ya Fedha ya Kimataifa ya Uingereza(Capital Finance International of UK) iliitunuku UTT-AMIS tunu ya Usimamizi bora ya mifuko ya uwekezaji nchini Tanzania.

Tena kwavile wewe ni muajiriwa, uwekezaji huu unakufaa sana mara mia ya kufanya biashara. Ni kweli Biashara huleta returns nzuri lakini biashara ina tuvitu vitu vingi, usipovizingatia unaweza poteza mtaji wako wote tena kwa muda mfupi mno. Na unaweza vingatia lakini bado ukapata hasara. Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana na mimi.

NATUMAI NIMEJIBU SWALI LAKO,
KARIBU SANA.
 
Mkuu UTT -AMIS, unaweza itumia pesa yako kama dhaman bank kama ilivyo T-bonds?
 
Hivi naomba kuuliza, hivi huu mfuko nani anamiliki, nataka kuwekeza ila naogopa isijekuwa kama JATU.

Mimi mwajiriwa wa Serikali na kimshahara change kidogo, nimefanya mchongo nimeiba milioni 100 ofisini ila zinanichsnganya nifanyie nini
Duuh
 
Habar za mda huu ndg na Jamaa ktk jukwaa hili.

Mimi binafsi akili imegoma Kujenga nyumba 11, kila nyumba iwe na vigezo vifuatavyo.

1.S/room 1
2. Vyumba vya kulala viwili kimoja master
3. Jiko
4. dining
5. choo cha public
6. stoo (nje ya gharama ya viwanja)sasa hii nyumba ikamilike ya kisasa itaghalimu 30m.

Kwa idadi ya nyumba 11 itaghalimu 330M.

kutokana na Mkoa husika kwa thamani ya nyumba hiyo utapangisha kwa gharama ya 2,500,000M, ikitokea bahati ukapangisha kwa 3M.

Sasa twende kwenye point unawekeza 330M unakuja kupata return yake kwa mwaka 27,500,000M.

Huu kitu imenifanya nione utajenga kama sifa ila siyo kuwa utakuwa na hela, maana ili uwanze kupata faida nimiaka 11, 12 toka umeanza kuweka vichwa.

Tusaidiane mawazo ndg ZANGU namna yakutengeneza utajiri wa akili, fikra na mitazamo mipana zaidi, najua wapo walio wekeza sehemu tofauti tofauti ila kwa nyanja Nyingine tofauti na ujenzi na wanapiga hela naomba MAWAZO yenu mitazamo yenu pia.

Hofu yangu unaweza ukawekeza kiasi kidogo lakini return yake kwa mwaka ukaipata ata ndani ya miezi 6, hiki ndo ninacho kihitaji ndg ZANGU.

Pia sina maana mbaya yakuwa watu wasiwekeze ktk nyumba hapana ila kwa Mimi hesabu zangu zinakataa tu, kama kwa kulenga kizazi chako ndo kiwape faida sawa, ila kwa Mimi ambaye nakitazama hicho kinanipa shida Ki-fikra.

Baada ya miaka 10 ukiwekeza hii Pesa ndo ninako jiona ila siyo ktk nyumba,
msaada wenu wadau.

Ahsante.
Mtaji wa 20m mwisho wa mwezi faida ni ikipungua 7m
 
Cute shy:una maanisha mtaji wa 20m utakao uzungusha,unapata faida ya 7m kwa mwezi?.sipingi wazo lako maana maarifa yana pishana.nikuombe kwa niaba ya familia yetu hii ya jf unisaidie/utusaidie unafanyaje?
 
LIQUID FUND ninayoijua mimi ni miongoni mwa mifuko iliyopo UTT-AMIS. Nadhani unajua UTT-AMIS ni nini hakuna haja ya kuelezea hilo, ila kama hujui basi nijuze nitakuelezea.

Moja ya sifa ya mifuko ya UTT-AMIS interest yake hubadilika mwaka hadi mwaka kulingana na hali ya soko, inaweza ikapanda pia inaweza kushuka: Kwa mfano

2021/22 interest ilikuwa ni 14.7%
2020/21 interest ilikuwa 15.30%
2019/20 interest sikupata kujua ni kiasi gani
2018/19 interest ilikuwa 11.49%
2017/18 interest ilikuwa ni 13.79%
2016/17 interest ilikuwa ni 15.38%
2015/16 interest ilikuwa ni 13.4%

Kwa interest hizo basi, Kama ungewekeza 20M mwaka 2015 gawio lako lingekuwa kama ifuatavyo

2015/16 ungepata 2,680,000
2016/17 ungepata 3,488,184
2017/18 ungepata 3,236,671
2018/19 ungepata 2,669,893
2020/21 ungepata 3,468,493
2021/22 ungepata 3,449,868

Umeona gawio linavyopanda na kushuka? Sababu zipo nyingi ila magawio yao ni mazuri pia. Faida nyengine ya kuwekeza UTT-AMIS, wanatoa compound interest sijui kwa Kiswahili inaitwa vipi hii. Lakini ni nzuri alafu pia huwezi ipata kwenye T-BONDS

Nitakuelezea kwa mfano kuhusu hii Compound Interest.

Mfano
Umewekeza 20M alafu wakatangaza interest ni 13.4% ina maana utapata gawio la 2,680,000. Pesa ya uwekezaji na gawio lako ukaviacha hukuchukua, ina maana utakuwa jumla ya TSH 22,680,000 katika uwekezaji wako. Mwaka unaofuata wakitangaza interest nyengine watapigia hesabu ya pesa iliyopo katika uwekezaji wako kwa wakati huo, yaani 22,680,000 na sio tena 20M. Kwahiyo kama watatangaza faida ni 13.4% basi gawio lako litakuwa 3,039,120 na sio 2,680,000 kama mwaka uliopita.
Umeona gawio lilivyozidi kushindamwaka uliopita?

Hiyo ndo compound interest sasa ila kama ulichukua pesa yako wao wana'calculate pesa iliyomo katika muda husika.

Faida zipo nyingi nyingi,

Faida nyengine ya kuwekeza kwenye huu mfuko unaweza kuuza sehemu ya uwekezaji wako au wote na kupata pesa zako ndani ya siku 3 za kazi.

Wanatoa faida shindani kulinganisha na taasisi zengine za uwekezaji. Ofisi zao zipo mikoa yote nadhani. Ila kwa hapa Dar wapo mtaa wa Ohio jengo la Sukari floor namba mbili.

Fika pale watakupa utaratibu wote, na taarifa zote.
KARIBU SANA
Asante nitakwenda kuwatembelea hapo sukari House.
 
Cute shy:una maanisha mtaji wa 20m utakao uzungusha,unapata faida ya 7m kwa mwezi?.sipingi wazo lako maana maarifa yana pishana.nikuombe kwa niaba ya familia yetu hii ya jf unisaidie/utusaidie unafanyaje?
Inahitaji muda wako sana kama sivyo pata watu waaminifu sana wafanye kazi hiyo maana kuna hela nyingi zinazunguka cash cash, utengeneze wateja ni super agent wa miamala ya cm
 
Cute shy:nakuelewa kwa mbali,hawa mawakala nakuwa agent wao?na pia kwa kila kiasi flani unapata % flani.gharama ya kufungua inakuwaje?samahani kwanza nashukuru kwa wazo hili embu nijazie nyama.
 
Anza na uwakala wa kawaida ili upate uzoefu kidogo, fungua branch ya airtel hapa wanataka 1m tu ambayo kila mwezi watakurudishia 150 mpaka iishe, airte utajitengenezea laini mwenyewe, ukishaona sasa umeruka changamoto za matapeli na kupata wafanyakazi waaminifu anza wakala mkuu wa mitandao mingine tafuta mawakala utakaokuwa unawahudumia, uaminifu ndo nguzo yako kwa mawakala wako, hapo utafanya kazi mpaka uwakatae mwenyewe, kuna watu wanapata mpka 50m kwa mwezi mmoja tu, 10m ni za wa mitaji 20m
 
Cute shy:nashukuru sna nimekupata vzuri.pia nikushukuru kujitolea mda wako na Kutupa madini haya.
 
Back
Top Bottom