Ishu kama hii iliwahi nitokea mwaka 2016. Alidai yeye ni mwanajeshi wa kike amepewa kama dola laki unusu na makolokolo mengine ivi na yeye hana shida nazo anitumie. Utata ukaja nilipie gharama ya usafiri[emoji28][emoji28]utapeli upo dunia nzima mazee!!