Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mchezo wao kufanikiwa kwa mtanzania ambaye hata hana account benki ni kazi kubwaIshu kama hii iliwahi nitokea mwaka 2016. Alidai yeye ni mwanajeshi wa kike amepewa kama dola laki unusu na makolokolo mengine ivi na yeye hana shida nazo anitumie. Utata ukaja nilipie gharama ya usafiri[emoji28][emoji28]utapeli upo dunia nzima mazee!!
Kabisa. Ishu sio akaunti benki ishu ni ela. Mtu huna ela unaambiwa utoe ela ili upate ela. Ukichaa uoHuu mchezo wao kufanikiwa kwa mtanzania ambaye hata hana account benki ni kazi kubwa