Hii imekaaje

Hii imekaaje

Dead Man

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
709
Reaction score
827
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.

Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu katika kufariji na kutoa misaada kwa wenye hali ya chini.

Pia akasema akipata likizo basi atakuja Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii, hivyo nitakuwa mwenyeji wake na angependa kufikia nyumbani kwangu (hakujua Kama mimi ni baharia naishi chumba kimoja na mtungi wa gesi ndani).

Nikajibu karibu sana. Akaomba kunifahamu kiufupi, nikamueleza na kuanzia hapo tukawa marafiki.

Basi akaniachia email yake hapo messenger kwa maana alisema kuwa sio mtumiaji sana wa Facebook hivyo nitumie email kuwasiliana nae.

Tukawa tunawasiliana kwa njia ya email. Badae akafuta picha na akaunti ya Facebook. Siku moja akaniambia kuwa walikuwa na kikao Cha wafanyakazi hapo hospital na baadhi ya wafanyakazi waliofanya vizuri walipewa zawadi. yeye alikuwa ni mmoja wao. Alipewa zawadi za laptop Hp 2, smartphone (iPhone) 1, na TV LG 1. Kwa maana yeye hakuwa na uhitaji wa vitu, basi akapata wazo la kunitumia mimi Kama zawadi ya kudumisha urafiki wetu.

Nilifurahi sana nikajua ghetto langu linakuja kunoga.

Siku moja akasema amepata dharura na anaenda Hawaii hivyo hatokuja Africa. Lakini zawadi zangu amempa rafiki yake anayeenda Senegal, ambaye ni mtumishi aliyemtaja kwa jina la Sister Janneth. Akanipa na email ya huyo Janneth ili niwasiliane nae jinsi ya kupata zawadi zangu. Janneth alikuwa akija Senegal na jopo lake kwa ajili ya kuhubiri injili na kutoa misaada.

Niliwasiliana na Janneth na akaniambia nimtumie post address yangu ili atume mzigo. Utata ulikuja pale aliponiambia kuwa nimtumie $150 kupitia benki ya Western Union ili aweze kuusafirisha huo mzigo.

Daah nilijiuliza maswali mengi sana, sasa Kama hawa wanagawa misaada wameshidwaje kunilipia gharama za kuusafirisha huo mzigo? nikapata jibu kuwa hawa Ni matapeli wa kizungu. Nikamjibu kuwa hiyo hela sina, kama vipi uza laptop moja halafu hela ya mauzo itumie kutuma huo mzigo utakaobaki.

Kuanzia siku hiyo hakunitafuta Tena". Robert, Dar.

WatuNiStory
 
Umeponea tundu la sindano!!🤣
 
huu mchezo nilifanyiwa mwaka 2013..bro hao ni matapeli usipoteze mda wako mana najua pesa ya kupoteza pia huna[emoji23]
 
🤣🤣🤣 Kweli kabisa hela hakuna sijui atatapeli nini
 
Wanaijeria ni watu wabaya sana.
Nawewe umeng'amua.Maana ndezindezi tu angeliwa.
Mtu yeyote usiyemjua alalapo usithubutu kumtumia pesa kirahisi.
 
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo.

Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu katika kufariji na kutoa misaada kwa wenye hali ya chini.

Pia akasema akipata likizo basi atakuja Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii, hivyo nitakuwa mwenyeji wake na angependa kufikia nyumbani kwangu (hakujua Kama mimi ni baharia naishi chumba kimoja na mtungi wa gesi ndani).

Nikajibu karibu sana. Akaomba kunifahamu kiufupi, nikamueleza na kuanzia hapo tukawa marafiki.

Basi akaniachia email yake hapo messenger kwa maana alisema kuwa sio mtumiaji sana wa Facebook hivyo nitumie email kuwasiliana nae.

Tukawa tunawasiliana kwa njia ya email. Badae akafuta picha na akaunti ya Facebook. Siku moja akaniambia kuwa walikuwa na kikao Cha wafanyakazi hapo hospital na baadhi ya wafanyakazi waliofanya vizuri walipewa zawadi. yeye alikuwa ni mmoja wao. Alipewa zawadi za laptop Hp 2, smartphone (iPhone) 1, na TV LG 1. Kwa maana yeye hakuwa na uhitaji wa vitu, basi akapata wazo la kunitumia mimi Kama zawadi ya kudumisha urafiki wetu.

Nilifurahi sana nikajua ghetto langu linakuja kunoga.

Siku moja akasema amepata dharura na anaenda Hawaii hivyo hatokuja Africa. Lakini zawadi zangu amempa rafiki yake anayeenda Senegal, ambaye ni mtumishi aliyemtaja kwa jina la Sister Janneth. Akanipa na email ya huyo Janneth ili niwasiliane nae jinsi ya kupata zawadi zangu. Janneth alikuwa akija Senegal na jopo lake kwa ajili ya kuhubiri injili na kutoa misaada.

Niliwasiliana na Janneth na akaniambia nimtumie post address yangu ili atume mzigo. Utata ulikuja pale aliponiambia kuwa nimtumie $150 kupitia benki ya Western Union ili aweze kuusafirisha huo mzigo.

Daah nilijiuliza maswali mengi sana, sasa Kama hawa wanagawa misaada wameshidwaje kunilipia gharama za kuusafirisha huo mzigo? nikapata jibu kuwa hawa Ni matapeli wa kizungu. Nikamjibu kuwa hiyo hela sina, kama vipi uza laptop moja halafu hela ya mauzo itumie kutuma huo mzigo utakaobaki.

Kuanzia siku hiyo hakunitafuta Tena". Robert, Dar.
Umesalimika mkuu,wako wengi sana kwenye mitandao hao matapeli,halafu ukifuatilia sana kutaka kujua ni matapeli utakuta ana rafiki mmoja au hana kabisa rafiki Facebook,kuonyesha kuwa account yake anaitumia kwa kazi maalum.....
 
Sio tapeli la kizungu bali ni wanaijeria hao
Wanabadili sio uraia fake tu bali kila kitu mradi uingie mazima
 
Same story as mine, machale yalinicheza.

Look here;

Hello dear
I Guess you are doing great..,sorry for my late response,I got some gifts for you your thought just came in my mind and I decided to send some gifts i hope they will be useful to you. And also to register in your heart that I came first among your friends.I sent the gift through a friend and also a mother in Christ, Reverend Sister,Louise Francis as she went to Senegal yesterday for missionary work, charity to the sick and less privilege to support Senegal with her group Sisters of Our Lady of Christian Doctrine.Yesterday after participating in a Church meeting we held here in canada and I gave her the gift package to deliver to you when she arrives there since you didn't supply me with your postal address and couldn't wait for you to do that now because I am on my way to Bosnia. You can reach her on whatsapp(+221 70 783 83 41) regarding how you should receive your gift package .I know that you will be in need of this item in one way or the other, the content of the pack are 2 laptops MacBook pro An iphone 11pro max ,videos camera, apple television and jewelries Open the pack of one of the laptop to bring out an envelop which I put inside, it contains some of my recent photos and that of my family members and a surprise gift which I don't want to disclose to you till you receive it and also i didn't give the Reverend sister any money for postage so try to sort it out with her if such comes up have a nice day and hoping to hear from you love you
 
Mbna kitambo Sana Hawa wapo alf wanapenda kutumia nnch ya Senegal kuiba
 
Umesalimika mkuu,wako wengi sana kwenye mitandao hao matapeli,halafu ukifuatilia sana kutaka kujua ni matapeli utakuta ana rafiki mmoja au hana kabisa rafiki Facebook,kuonyesha kuwa account yake anaitumia kwa kazi maalum.....
Haswa wakimalizana na wewe wanakuondoa urafiki harafu wanabadili na jina.
 
Same story as mine, machale yalinicheza.

Look here;

Hello dear
I Guess you are doing great..,sorry for my late response,I got some gifts for you your thought just came in my mind and I decided to send some gifts i hope they will be useful to you. And also to register in your heart that I came first among your friends.I sent the gift through a friend and also a mother in Christ, Reverend Sister,Louise Francis as she went to Senegal yesterday for missionary work, charity to the sick and less privilege to support Senegal with her group Sisters of Our Lady of Christian Doctrine.Yesterday after participating in a Church meeting we held here in canada and I gave her the gift package to deliver to you when she arrives there since you didn't supply me with your postal address and couldn't wait for you to do that now because I am on my way to Bosnia. You can reach her on whatsapp(+221 70 783 83 41) regarding how you should receive your gift package .I know that you will be in need of this item in one way or the other, the content of the pack are 2 laptops MacBook pro An iphone 11pro max ,videos camera, apple television and jewelries Open the pack of one of the laptop to bring out an envelop which I put inside, it contains some of my recent photos and that of my family members and a surprise gift which I don't want to disclose to you till you receive it and also i didn't give the Reverend sister any money for postage so try to sort it out with her if such comes up have a nice day and hoping to hear from you love you
Ndio michezo yao hii
 
Ndio michezo yao hii

IMG_1226.png
 
Back
Top Bottom