Hii imekaaje?

Hizo gari ni zile ambazo hazijakombolewa Bandarini kwasababu mbalimbali ikiwemo kifo cha mteja, na zingine kuingia kwa njia za panya.
Serikali inataifisha na kuzigawa kwa ofisi mbalimbali za umma na vyombo vya ulinzi.
Haikuanza leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…