Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

We subiri kuna siku utalala utaamka unakuta ana viewers milion nane hapo ndio utajua dunia ina mambo!
 
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!

Hii you tube wanaifwatilia imebanwa hakuna janjaja zile zingine nasikia wananunua Kama maandazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nyimbo aliivujisha ndio imekosa mvuto au hamasa ya watu
 
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
Vitu vinavyotrend ni vingi mnoo hadi vinawachanganya raia wema
 
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
ile ni akaunti mpya ya vevo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika angeiweka katika akaunti ile ile ingekuwa ina views m 8 mpaka sasa
 
ile ni akaunti mpya ya vevo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika angeiweka katika akaunti ile ile ingekuwa ina views m 8 mpaka sasa
Hapana anko hiyo haiwezi kuwa sabbu toshelezi
 
kwa hiyo kama kabadili account ndio ifanye mashabik zake wasipate access ya kuona hiyo nyimbo?? tuwe serious ule wimbo ni mbovu
 
Kwani ukiwa VEVO ndo video yako haiwez kufikisha views haraka kama anavyofanyaga? ?kwani shda ipo wapi? ?sidhani kama umeandika kitu sahihi
Sikiliza nikwambie kitu, nyimbo zote alizowahi kutoa diamond zinapostiwa na account nyingine nyingi tu, ushajiuliza kwa nn ua kwenye official acc ya daimond inapata viewers nyingi kuliko za account nyingine? Usiwe mvivu wa kufikili bro! 0fficial account ya diamond ina suscribers wengi kuliko zote east africa, hauhitaji kutumia akili nyingi kujua vitu vidogo kama hivi.
 
huo mkataba ndio ule alilipwa bilioni 2.2 a lady akalipa kodi milioni 35?!

alafu kama unatumia account ya vevo huwa inapunguza viewer?!
Hapana, kafungua account mpya kwa ajili ya kazi zote anazofanya chini ya universal, kuwa na account mpya it means unaanza kuipromote upya. Kwenye you tube the more unavyopata subscribers ndio kazi yako unaweza kuwafikia watu wengi kwa wakati, ndio huho huo mkataba bro.
 
Acha ukilaza kwahiyo vevo inapubguza watu wa kucheck video
Sasa mimi na wewe nani kilaza, haujui kuwa official account ya diamond ndio ina suscribers wengi east africa? Mpaka you tube wakaipa tuzo? Sasa kwa ukilaza wako ukiona watu wanalazimisha ususcribe account zao you tube unashindwa kuelewa kwa nini mimi sina cha kukusaidia. Unajua ni kazi sana kuwaelewesha viazi nyinyi kwa sababu hamjui hata vitu vidogo vidogo vinavyofanya kazi
 
Hapana, kafungua account mpya kwa ajili ya kazi zote anazofanya chini ya universal, kuwa na account mpya it means unaanza kuipromote upya. Kwenye you tube the more unavyopata subscribers ndio kazi yako unaweza kuwafikia watu wengi kwa wakati, ndio huho huo mkataba bro.
Bro sasa mbona anakubali kuburuzwa tena wakati hayo ndio mambo aliyokuwa akiyapinga miaka yote?!

Unaanzaje kuacha Account yenye subscribers 400000+ tena iliyokupa mpaka tuzo kutoka YouTube na iliyokuwa ikifanya video zake zifikishe milioni 10+ Viewers?!

Na mwenyewe alisema mkataba wake na Universal ni jamaa kuuza ngoma zake mitandaoni...
Na alisema universal hawatoingilia chochote kuhusu zake ziweje,aimbe na nani au zitoke lini sasa mbona tunaanza kuona mambo tofauti tena?!
 
Back
Top Bottom