john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
We subiri kuna siku utalala utaamka unakuta ana viewers milion nane hapo ndio utajua dunia ina mambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine
Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
Vitu vinavyotrend ni vingi mnoo hadi vinawachanganya raia wemaAsee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine
Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
ile ni akaunti mpya ya vevo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika angeiweka katika akaunti ile ile ingekuwa ina views m 8 mpaka sasaAsee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine
Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
Ohooo kumbe ukiweka kwenye account mpya basi viewers huwa zinakimbia eheeeile ni akaunti mpya ya vevo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika angeiweka katika akaunti ile ile ingekuwa ina views m 8 mpaka sasa
Hapana anko hiyo haiwezi kuwa sabbu tosheleziile ni akaunti mpya ya vevo muwe mnafuatilia mambo kwa kina kabla ya kuandika angeiweka katika akaunti ile ile ingekuwa ina views m 8 mpaka sasa
Wee anglia notificationHapana anko hiyo haiwezi kuwa sabbu toshelezi
Yes DWee anglia notification
Sikiliza nikwambie kitu, nyimbo zote alizowahi kutoa diamond zinapostiwa na account nyingine nyingi tu, ushajiuliza kwa nn ua kwenye official acc ya daimond inapata viewers nyingi kuliko za account nyingine? Usiwe mvivu wa kufikili bro! 0fficial account ya diamond ina suscribers wengi kuliko zote east africa, hauhitaji kutumia akili nyingi kujua vitu vidogo kama hivi.Kwani ukiwa VEVO ndo video yako haiwez kufikisha views haraka kama anavyofanyaga? ?kwani shda ipo wapi? ?sidhani kama umeandika kitu sahihi
Hapana, kafungua account mpya kwa ajili ya kazi zote anazofanya chini ya universal, kuwa na account mpya it means unaanza kuipromote upya. Kwenye you tube the more unavyopata subscribers ndio kazi yako unaweza kuwafikia watu wengi kwa wakati, ndio huho huo mkataba bro.huo mkataba ndio ule alilipwa bilioni 2.2 a lady akalipa kodi milioni 35?!
alafu kama unatumia account ya vevo huwa inapunguza viewer?!
Sasa mimi na wewe nani kilaza, haujui kuwa official account ya diamond ndio ina suscribers wengi east africa? Mpaka you tube wakaipa tuzo? Sasa kwa ukilaza wako ukiona watu wanalazimisha ususcribe account zao you tube unashindwa kuelewa kwa nini mimi sina cha kukusaidia. Unajua ni kazi sana kuwaelewesha viazi nyinyi kwa sababu hamjui hata vitu vidogo vidogo vinavyofanya kaziAcha ukilaza kwahiyo vevo inapubguza watu wa kucheck video
Hapana anko hiyo haiwezi kuwa sabbu toshelezi
Ohooo kumbe ukiweka kwenye account mpya basi viewers huwa zinakimbia eheee
nyimbo ilikuwa blocked na vevo kwny nchi nyingi jana ndo imefuguliwa worldwideHii you tube wanaifwatilia imebanwa hakuna janjaja zile zingine nasikia wananunua Kama maandazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini ilikuwa blocked bwana Sallamnyimbo ilikuwa blocked na vevo kwny nchi nyingi jana ndo imefuguliwa worldwide
Bro sasa mbona anakubali kuburuzwa tena wakati hayo ndio mambo aliyokuwa akiyapinga miaka yote?!Hapana, kafungua account mpya kwa ajili ya kazi zote anazofanya chini ya universal, kuwa na account mpya it means unaanza kuipromote upya. Kwenye you tube the more unavyopata subscribers ndio kazi yako unaweza kuwafikia watu wengi kwa wakati, ndio huho huo mkataba bro.