Wale ni wachumba! haiwezekani hiyo mambo ikafanyika hovyo hovyo tena mchana!!
Hapana mkuu, mi nimeshtushwa na hiyo tabia ya kufanya kitendo kama hicho tena mchana kweupe ndani ya gari karibu na ofisi kubwa kama hizo!! Kuna haja ya kuweka camera maeneo yote ya jiji, na hizi tabia ni baadhi ya vyanzo vya mapato tukivitumia vizuri tunaweza kukomesha hizi tabia haramu.WA-UKENYENGE,sijakuelewa. Unamaanisha kama ni wachumba ni ruksa kwao kufanya huo mchezo katika mtindo walioutumia?!
Habari za Nyamalango, Igombe, Nyasaka Mahina nk mkuu Inzi?WA-UKENYENGE,sijakuelewa. Unamaanisha kama ni wachumba ni ruksa kwao kufanya huo mchezo katika mtindo walioutumia?!
zenji ndo mambo yao haya, washayazoea na wanayajua kwelikweli.
Ronn: ni wewe au jamaa yako mwenye hiyo GX 100 nini? Mkoko wangu ulikuwa mkabala na hiyo GX 100 ...kumbuka macho hayana pazia!!
Habari za Nyamalango, Igombe, Nyasaka Mahina nk mkuu Inzi?
Hapana mkuu, mi nimeshtushwa na hiyo tabia ya kufanya kitendo kama hicho tena mchana kweupe ndani ya gari karibu na ofisi kubwa kama hizo!! Kuna haja ya kuweka camera maeneo yote ya jiji, na hizi tabia ni baadhi ya vyanzo vya mapato tukivitumia vizuri tunaweza kukomesha hizi tabia haramu.
Huko ndo kupiga chabo sasa.