Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

Hii imetokea katika Maegesho ya WHO Dar Es Salaam!! Lunch Box

Kisheria hiyo ni "Public Nuisance". Wanaweza kutiwa hatiani na kufungwa kama wakikamatwa.

Wanaopenda mchezo huo wawe waangalifu wasiumbuke.

Kenya na Malawi tayari watu kadhaa wameshafungwa kwa kosa hilo.
 
Wale ni wachumba! haiwezekani hiyo mambo ikafanyika hovyo hovyo tena mchana!!
 
WA-UKENYENGE,sijakuelewa. Unamaanisha kama ni wachumba ni ruksa kwao kufanya huo mchezo katika mtindo walioutumia?!
Hapana mkuu, mi nimeshtushwa na hiyo tabia ya kufanya kitendo kama hicho tena mchana kweupe ndani ya gari karibu na ofisi kubwa kama hizo!! Kuna haja ya kuweka camera maeneo yote ya jiji, na hizi tabia ni baadhi ya vyanzo vya mapato tukivitumia vizuri tunaweza kukomesha hizi tabia haramu.
 
Watu wengine bwana sijui akili zao ziko vipi...!! sasa hapo kuna raha gani...??
 
mimi huwa ni ngumu kuamini mambo haya mpaka siku nikiona andio nitaanguka chini, hivi inakuaje jamani, mbona sitakuwa wet kwa uoga ambao nitakuwa nao kweli hizi ni fani za watu, lol! MUNGU JUU ATUHURUMIE! ukute huyo ni hawara! mmhhh!
 
Ronn: ni wewe au jamaa yako mwenye hiyo GX 100 nini? Mkoko wangu ulikuwa mkabala na hiyo GX 100 ...kumbuka macho hayana pazia!!

Nilikuona ulivyokuwa unapiga chabo. Acha kusingizia kupaki gari wakati unasema ulikuwa unaenda kumcheki jamaa ofisi ya jirani
 
Hapana mkuu, mi nimeshtushwa na hiyo tabia ya kufanya kitendo kama hicho tena mchana kweupe ndani ya gari karibu na ofisi kubwa kama hizo!! Kuna haja ya kuweka camera maeneo yote ya jiji, na hizi tabia ni baadhi ya vyanzo vya mapato tukivitumia vizuri tunaweza kukomesha hizi tabia haramu.

Mkuu WA-UKENYENGE,yaani hilo suala la kamera ni bonge la biashara. Lakini raia na halmashauri bado hazijashtuka. Acha waendelee kulala...
 
Last edited by a moderator:
Yaani watu badala ya kupunguza dhambi wao wanaongeza 2X3 kama dose ya panadol.
 
mkuu ulitakiwa uwachukue kapicha, labda ungezaidia kuvunja mtandao huo wa ngono, huyo jamaa unaweza kuta anamke au mpenzi mwingine. siamini kama kweli huyo ni wake tuu, wangekurupuka mida, hiyo ya kazi.

hapo ni mulika wizi tu
 
huyo mwanamke mmmhh!!haya na ww kupiga chabo utatobolewa macho.
 
Sijaona tatizo kabisa.

Kama hujawahi fanya mapenzi sehemu hatarishi, hujaexplore bado.
 
siku hii hata gesti zinajaa kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana
 
Back
Top Bottom