Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Huwa inatokea kwenye Maziwa, Mito Mikubwa na Bahati...!Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana GanView attachment 3159312i?
Geographical reasonHii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana GanView attachment 3159312i?
So hapo kungekuwa na boat au mtumbwi karibu, tungeongea mengine.Guys hiyo inaitwa Tornado ni normal geographical phenomenon kutokea kwenye bahari,mito na maziwa au hata nchi kaviView attachment 3159331
Bila shakaSo hapo kungekuwa na boat au mtumbwi karibu, tungeongea mengine.
ni artificial intelligence kwa kifupi sana πHii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana GanView attachment 3159312i?
Mkuu ungetumegea tu hata hizo tuimarishe afya ya akili π€£π€£Huwa inatokea kwenye Maziwa, Mito Mikubwa na Bahati...!
Mimi ninazo sababu nyingine ambazo sio za Geography Wala za Ki Sayansi...!
Ila Kwa vile unataka Sababu za Ki Geography, basi Wacha tusibiri.
Hii inaitwa Tornado. Zinatokea sana huko MarekaniHii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana GanView attachment 3159312i?
Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana GanView attachment 3159312i?
Kunaweza kukatokea kimbunga kikali au mvua kubwa sana. Kule US inatokeaga mara nyingiHii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma
Mliosoma Geography πΊοΈππ hii inamaana Gani?
View attachment 3159312i?
Ata izo unazo zijua leta tupe apa kujifunzaHuwa inatokea kwenye Maziwa, Mito Mikubwa na Bahati...!
Mimi ninazo sababu nyingine ambazo sio za Geography Wala za Ki Sayansi...!
Ila Kwa vile unataka Sababu za Ki Geography, basi Wacha tusibiri.