Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma. Mliosoma Geography, hii inamaana gani?

Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma. Mliosoma Geography, hii inamaana gani?

Huwa inatokea kwenye Maziwa, Mito Mikubwa na Bahati...!

Mimi ninazo sababu nyingine ambazo sio za Geography Wala za Ki Sayansi...!

Ila Kwa vile unataka Sababu za Ki Geography, basi Wacha tusibiri.
Upo sahuhi kabisa.

Elimu ina mipaka na ukomo wake

Asili siku zote inavuka mipaka
 
Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma

Mliosoma Geography 🗺️🌏📗 hii inamaana Gani?

View attachment 3159312i?
Ni tornadoes, hutokea hewa unyevu barid na hewa yenye unyevu joto zinapokutana angani.Hewa unyevu barid(- charges)inakua nzito dhidi ya hewa unyevu joto(+ charges), kwahiyo kinachotokea ni muingiliano wenye kasi sana wa mvuke(circulation).Kutokana na uzito ushuka chini kutoka angani mfano wa nyoka anayejipindua pindua na kuzungusha vitu vyotevilivyopo katika eneo hilo, kama inanguvu kubwa huvuluga nyumba, mazao, magari, nk.Huo Mvuke mfano wa wingu nyoka ukishuka chini unakutana na hewa unyevu joto ambao ni mwepesi ivyo urudi tena angani kwa kuwa ni mwepesi, angani ukutana tena na mgandamizo wa unyevu hewa baridi ambao ni mzito hivyo urudi tena ardhini mfano wa nyoka anaejizungusha.Mambo haya utokea sehem zenye unyevu mwingi sana (heavy humidity vapour) kama milimani, kwenye mito yenye miinuko, maziwa, na bahari.Utokea sana Morogoro(miliman) wenyeji wa uku uita Boka(nyoka mkubwa aendae baharini). Katika nchi ya Marekani hutokea sana na kuua, katika majimbo ya Nebraska,Arkansas, Missisipi,nk.
 
Ushindi wa Kishindo Serikali za Mitaaa 2024 Pia tunamshukuru Samia Kutuletea hii maji kupanda Juu Angani
 
Back
Top Bottom