Hii ina maana ipi

M
Mpaka hapo hujaelewa na unasubiri majibu tofauti?
 
Sawa acha tuone maana yake amekukubali

Cha kufanya muite ghetto...najua akifika ghetto utaelewa cha kufanya, lakini ikitokea hujaelewa cha kufanya pia unaweza kurudi hapa jukwaani kuuliza
Acha tuone itakavyokuwa
 
Me nlitegemea sahv uko kwa wakala ushaanza process za kutuma na ya kutolea

Cha ajabu na ww unasubir uone....
 
Fanya vitendo haraka, weka ndani kabla hajakutana na wenye nazo
 
Umeshindwa kuelewa jambo dogo hivyo ukielezwa manufaa ya DP World utaelewa kweli?
Dogo unaonyesha una uchanga kwenye mahusiano.Actually,hiyo kauli anahitaji kuthibitishiwa kuona kama uko serious kwa hiyo kauli yako.Hapo ni uthibitisho wa nia ya dhati na vitendo full stop.
 
mtoe out mbili tatu mueleze nia yako face to face akizingua balance shobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…