Hii ina madhara ganii??

Hii ina madhara ganii??

Umeshawahi jaribu kuzivuta zikatoka?
Ziamishie kwenye other account kama unayo; uendelee kuzihifadhia uko.

Siku wakuita na kukuambia kulikua kuna system error, utawaambia nawe uli with draw tokana na zarula za kifamilia nk

Nafikili watakupatia utaratibu mwingine
au unahofu ata izo theluthi kadhaa zilizobakia kwenye salary wa naweza wakaanza dili nazo
Sijawahi zitoa wala, ila niko na wasiwasi wakigundua maybe baadae sana itakuwaje?!

Acha niziache tuu huko! Mpaka mwaka huu uishe tuu
 
Nasikia ukokomba pesa alafu akaacha kutumia acc bhasi imetoka hiyoo
 
Sijawahi zitoa wala, ila niko na wasiwasi wakigundua maybe baadae sana itakuwaje?!

Acha niziache tuu huko! Mpaka mwaka huu uishe tuu
Yes ni uamuzi mzuri; its better uziache uko uko! Ila shida ikikukaba usisite choropoa kiasi mama ake.
 
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...

Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??

Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??

Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Aisee mm siku nikiikuta hio sirudi nyuma na mwendo wa kukanyaga tu bas
 
hela usiyoitumikia si yako yakupasa kuwaambia wachukue kiasichao kilichozidi, ukiitumia ni sana na umeiba, siku banki wakiweka deni kwenye a/c yako itakuwa ka deni kwenye simu, najua vile madeni ya simu yanavyolipika ukiweka salio
 
hahaha mi nahofu sijui kaa utaweza vumilia mpaka mwezi 12 maana tiyari zitakuwa zimeisha jaa jaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tuu najikakaza mnooo, kila nikiziwaza zinapata kazi!
 
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...

Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??

Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??

Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Mimi niko interested kujua hiyo kazi maalum
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tuu najikakaza mnooo, kila nikiziwaza zinapata kazi!
hahahaha

Alafu Usiku wote huu ulikuwa wapi eti!!
mbona kama nahisi ka wivu mimi mama ake
 
Back
Top Bottom