Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sijawahi zitoa wala, ila niko na wasiwasi wakigundua maybe baadae sana itakuwaje?!Umeshawahi jaribu kuzivuta zikatoka?
Ziamishie kwenye other account kama unayo; uendelee kuzihifadhia uko.
Siku wakuita na kukuambia kulikua kuna system error, utawaambia nawe uli with draw tokana na zarula za kifamilia nk
Nafikili watakupatia utaratibu mwingine
au unahofu ata izo theluthi kadhaa zilizobakia kwenye salary wa naweza wakaanza dili nazo
Acha niziache tuu huko! Mpaka mwaka huu uishe tuu