Sijawahi zitoa wala, ila niko na wasiwasi wakigundua maybe baadae sana itakuwaje?!Umeshawahi jaribu kuzivuta zikatoka?
Ziamishie kwenye other account kama unayo; uendelee kuzihifadhia uko.
Siku wakuita na kukuambia kulikua kuna system error, utawaambia nawe uli with draw tokana na zarula za kifamilia nk
Nafikili watakupatia utaratibu mwingine
au unahofu ata izo theluthi kadhaa zilizobakia kwenye salary wa naweza wakaanza dili nazo
Yes ni uamuzi mzuri; its better uziache uko uko! Ila shida ikikukaba usisite choropoa kiasi mama ake.Sijawahi zitoa wala, ila niko na wasiwasi wakigundua maybe baadae sana itakuwaje?!
Acha niziache tuu huko! Mpaka mwaka huu uishe tuu
Nazitamani kweeeli yaani babake!Yes ni uamuzi mzuri; its better uziache uko uko! Ila shida ikikukaba usisite choropoa kiasi mama ake.
hahaha mi nahofu sijui kaa utaweza vumilia mpaka mwezi 12 maana tiyari zitakuwa zimeisha jaa jaaNazitamani kweeeli yaani babake!
Ila naogopa sana mimi
Aisee mm siku nikiikuta hio sirudi nyuma na mwendo wa kukanyaga tu basWanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha mi nahofu sijui kaa utaweza vumilia mpaka mwezi 12 maana tiyari zitakuwa zimeisha jaa jaa
Mimi niko interested kujua hiyo kazi maalumWanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Ni kazi maalum inaitwaa hivyooMimi niko interested kujua hiyo kazi maalum
hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tuu najikakaza mnooo, kila nikiziwaza zinapata kazi!
Babakehahahaha
Alafu Usiku wote huu ulikuwa wapi eti!!
mbona kama nahisi ka wivu mimi mama ake
Kuku amini na kuamini sanaBabake
Nilikuwa lindo mimi, nitalalaje na bunduki eti!
Niamini hebu
Ukiniamini inatosha babake!Kuku amini na kuamini sana
aki ongea na kanjibahi waanze kukupanga
mchana mamsapu.
haha na hofu kanjibahi asije akanizidi kete Mimi.
.