Hii ina ukweli wowote kwa Wanaume wa TZ na kwa wanawake je?

Hii ina ukweli wowote kwa Wanaume wa TZ na kwa wanawake je?

Jaruk

Member
Joined
May 7, 2020
Posts
44
Reaction score
47
Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
 
Ukifungua Uzi af maelezo yake yanakua mafupi kama comment tu ya mchangiaji inakua haipendezi. Hebu ongezea nyama tuje tuchangie

Sent from my S9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
Si wote. ita depend na character ya mtu. Wengine huwa tunatamka live kuwa it over. Kijeshi kigumu.
Hawa viumbe ukiwachezea na wao wanakuchezea
 
Back
Top Bottom