Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Hakuna anayejipendekeza,wacheze ugoro halafu utoe kiingilio yako na mda kwanini usiangalie kwenye tv,kwanza wachezaji wenyewe wanacheza kibishoo wakiona mashabiki.Mashabiki hawatoenda ila Simba itashinda kirahisi kabsa kwahiyo bora waende tu sio wasubiri timu ishinde ndo waanze kujipendekeza kua karibu na timu. Kwenye kundi la Simba sioni timu ya kumchallenge Simba, anaenda robo final saa 4 asubuhi
Kama mashabiki wangekuwa wanajipendekeza Ahmed Ally asingekuwa anafanya hamasa.
Sent using Jamii Forums mobile app