Harrykany
JF-Expert Member
- May 10, 2019
- 619
- 668
Kwa ufupi tu niulize kwanini mdada unakubali kuwa na mpenzi ambae ana wapenzi wengine na analitambua hilo na anamwambia jamaa kuwa hata kama upo na yule fureshi tu, kila mtu acha aplaypart yake, hivi hapo kinacho sababisha iwe ivo ni mapenzi ya dhati ya mdada, kwa mtu kama huyo, au nini kinasababisha iwe ivo, na wakati kuna wanawake wakiona wapenzi wao wamesimama tu. Na mwanamke mwingine ni vurugu, hata umwambie nini akuelewi