Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Madaraja yana ufisadi tenda zote wanapewa ndugu jamaa wa mtukufu kuna upendeleo kwenye ulaji wote pesa zinazunguka zinawarudia wenyewe kwa njia haramu na za kishetani
Miaka 5 tu kajenga mahoteli na uwanja wa ndege kijijini kwake akipewa 10 je si atahamishia na bahari ya hindi kwao
 
Zile hotel Ni za kutaifisha zote sababu ni Kodi zetu, ule uwanja wakabidhiwe jeshi Ni Kodi zetu zile. Kama kuna pesa kaficha taifisha zote zikalipe fidia waliobomolewa nyumba zao
 
Kitendo cha kuminya demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi wapinzani ndicho kimepelekea mtukufu magufuli kuchukiwa na wananchi wengi
Watanzania hwapendi mambo ya chuki na unayanyasaji. Ni watu maskini lakini wanapenda amani na maelewano. Hiyo aliyataka kuwapandikiza chuki atatafeli mwenyewe na ameshafeli haamini.
 
Duh.. Ujenzi wa reli ndo umeanza, mabarabara yote mapya mikoani na kwenye mitaa unasema zimejengwa enzi za kikwete. kweli wewe hujijui, Mungu akusamehe
Tatizo sio kujengwa,tatizo ni pale anapotaka tuamini ni kwa pesa zetu, ukweli ni mikopo na misaada tu, ujenzi wa reli kukamilika ni 2026. Hilo bwawa mpaka ataondoka, tujulishe Deni la taifa 2015-2020 linganisha na 2010-2015.
2015 sukari tulinunua sh ngapi na leo 2020 tunauziwa sh ngapi?
 
Kabisa mkuu huwezi ukafanya maovu chungu nzima kwa kutumia wadhifa wako ikiwemo mauaji, kauli zilizojaa ufedhuli, unyanyasaji, dharau, dhuluma, VITISHO na udhalilishaji wa Watanzania halafu utegemee raia wakupende. Kapanda chuki na roho mbaya sasa anavuna uovu wake.
Ukiona mtu anakataliwa ujue hafanyi mazuri kwa watu.
 
Mungu akuongoze vyema kwa kuwaza mabaya, Rais ni mpakwa mafuta wa Bwana ukimuwazia kumuua unakuwa hulitakii mema Taifa, kumbuka JPM ni matokeo ya maombi ya watanzania wakilalamika kwamba JK amekuwa mpole sana.Makanisa na Misikiti watu wakaomba kupata Rais Mkatili, Mungu kajibu.Usiombe auawe, omba vizuri maana sala yako ikitimizwa ndio utajua maana ya MPAKWA MAFUTA ni nini.Namuombea maisha marefu JPM, abarikiwe, afunguliwe ufahamu, AMEN.
Heri niombee wagonjwa na wenye shida kuliko "shetani".
 
Kiukweli huyu wakala wa SHETANI pigo atakalopata huku ziwani hata amino Kwa mfano hapa Nkome Jimbo la Musukuma huku Geita vijijini watu wamefilisika wamekufa nyumba kupigwa mnada na mabenki kuuawa na vyombo vya dola chanzo ni kuchomwa nyavu kuporwa boat za uvuvi n.k.

Watu wengi wanasubiri 28 October hakika atapigwa mchana kweupee labda kijiji cha Chato watampa ila kulikobaki mkoa huu ni hapati kura kwani watu wameumizwa na kuonewa Sana.
 
Kabisa mkuu huwezi ukafanya maovu chungu nzima kwa kutumia wadhifa wako ikiwemo mauaji, kauli zilizojaa ufedhuli, unyanyasaji, dharau, dhuluma, VITISHO na udhalilishaji wa Watanzania halafu utegemee raia wakupende. Kapanda chuki na roho mbaya sasa anavuna uovu wake.
Manyanyaso ya mtukufu magufuli kwa miaka mitano ni makubwa hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anayataka yaendelee tena
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huu mzee kama ni mzalendo kweli basi aamue tu kufa atatusaidia sana
 
Back
Top Bottom