Si jukumu la serikali kumpa pesa mtu, si jukumu la serikali kumjengea mtu nyumba yake, si jukumu la serikali kukutaftia ww chakula ule, si jukumu la serikali kukununulia ww nguo uvae upendeze bali vitu hivi ni juhudi zako binafsi mwenyewe na akili zako kuvitafta, jukumu la serikali ni kushughulika na vitu vya umma/vyenye faida kwa wote na si kwa mmoja mmoja, kama ww ni mkulima lima uza mazao yako pata pesa jenga,kula, vaa, kam ww n mfanyabiashara uza bidhaa zako pata pesa tumia kwenye mambo yako, kam we umeajiriwa fanya kazi lipwa mshahara fanyia mambo yako, kama umeshindwa kufanya kazi ukapata pesa kuendesha maisha yako basi utasubir sana na kuitupia lawama serikali wakati haihusiki moja kwa moja na maisha yako