Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Ile hadaa aliyopitishwa kwa 100% ndani ya CCM yaani wajumbe wote wakapiga kura ya ndio,kichwa kikavimba akajua akija kwa wamanchi basi atakubalika kwa 100% vile vile!Anachokiona kwenye kampeni haamini macho yake,amekata tamaa!
 
tutakiwa wa ajabu huyu jamaa jiwe kumuacha ationgoze kwa kioindi kingine cha miaka mi tano itakuwa ajabu sana..... kafanya nchi kama ya kwake.... anakauli za kututisha wananchi.... hatupi faraja kipindi cha matattizo kama tetemeko la kagera..... upiuzi kabida
 
Safari hii mtaandika thread na thread lakini ukweli utabaki pale pale JPM ndiyo Rais hakuna wa kumzuia.
 
Wanaomkataa Magufuli in wapiga deal na vijana Wavivu na wanategemea Serikali iwafanyie kila kitu ila Wenye uwelewa Mpna Wa Mambo Magufuli ndio Rais Wa nchii hii na Ataendelea Baada ya October Wapiga Deal Watapata Tabuuu sana
Kwahiyo unataka kunambia kikwete pia ni mpiga dili ??

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Kwani Mpaka Sasa Hivi Hali Ikoje
 
Alikuja yule wakasema huyu mbinafsi, akaja yeye wakasema mpenda starehe, Akaja huyu wakasema wakasema dikteta, Wakija kukubali Tanzania itatimiza ahadi za maendeleo ya millenia, Dr. John Pombe Joseph Magufuli for new Tanzania.
Unamiaka 38 lkn naona bado unaishi kwa shemegi yako aliye muoa Dada ako nyumba wenyewe vyumba viwili umri wote huo mpaka Leo unalazwa chumba kimoja na watoto wa Dada ako funguka kaka sahivi maisha magumu kila siku shemegy yako akwambia urudi kijijini ukalime ww wasema kunaishu waikamilisha juu ni mwaka wa 15 upo mjini huna hata ajira ya kuuza mayai ya kuchemsha

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu ndo chaguo sahihi mwaka huu
O.jpg
 
Visasi
Chuki
Roho mbaya
Ubinafsi
Katili
Mwizi
Uongo
Fisadi
Mdini
Mkabila
Mkanda
Mzinzi
Mbaguzi
Muuaji
Mjuaji
Kiburi
Dharau
Dikteta

Msichague viongozi wenye sifa hizi wanaharibu umoja wetu pia ni hatari kwa amani yetu
Mnyang'anyi
Mla rambirambi
Bomoabomoa
Tumechoka kutawaliwa kidikteta
We can't breathe
 
Alitegemea kukubarika zaidi, kwa jinsi alivyokuwa akitumia vyombo vya Habari, shirika la utangazaj nchini TBC, vyombo vya Habari vya CCM.

Yawezekana watu hawavifuatilii sana ama ugumu wa maisha kwa watanzania a.k.a vyuma vimekaza vina wafanya watu wabeze juhudi zake, ama visasi kwa wanaompinga na kumkosoa, wabunge wa CCM kusifu kila linalofanywa na serikali hata kama baya ama kuna usaliti ndani ya CCM, ama amekosa watu makini wenye uzoefu na kampeni ama mgombea wa CHADEMA ana Sera nzito zinazosikika na kueleweka na kugusa maisha ya Watanzania.

Kiukweli kama ulifanya vitu vingi vya kujitoa hata kuhatarisha maisha Lakin watu hawaoni hii inaweza kumkatisha tamaa JPM.

Ni Kweli awamu ya tano Iko kwenye ujenzi wa miundombinu, maendeleo ya nchi na vitu Lakin Wananchi Wana hali ngumu.
Hali ya maisha kwa watanzania ni ngumu100% na wananchi wamekuwa wakiishi kea matumaini lakini kila kukicha Bora jana. Na viongozi wa ccm hawamwambii Rais ukweli kazi ni kusigia ununuzi wa ndege,SGR, barabara ,majengo Ila mitaani,mijini na vijijini Hali ya maisha Sio. Kuna mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm like moshi Mjini kwenye kampeni zake anawambia wananchi akiteuliwa ataufanya mji wa Moshi kuwa jiji huyo ndiyo ilani yake mikutano yote Sasa wananchi wanajiuliza mji ikiwa jiji faida yake ni nini au watakula jiji? Haelezi faida za mji kuwa jiji na wananchi hawajui faida ya kuwa jiji kwa mantiki huyo chadema wanapita bila kupingwa. CCM wanafanya kampeni wakidhani huu ni mwaka 2000.
 
Yote anafanya mazuri alipo sahau ni kwenye uchumi wa watanzania mmoja mmoja watanzania wako zaidi kiutu and they are not in materials
 
Sasa kwani matokeo ya uchaguzi tayari, tusubiri matokeo ya uchaguzi ndio mtajua hamjui...
 
Back
Top Bottom