jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
mtanzania wa kwanza uliyeonyesha uelewa wa juu ,huu jamaa aliwekeza kwenye propaganda na anania ya kitia nchi mfukoni,ni outdated president ,mapicha ya akina sadam Hussein,Gadafi yapo kichwani mwake wakati dunia imeshaondoka huko,amezungukwa na wasaidizi waoga wa maisha maana wale wasio waoga wa meisha wengine watu wake wakaribu kawatimulia mbali kabaki peke yake na juniors aliowapromote kwa nguvu,sasa hakuna wakumshauri wala kumpa mbinu za campaign kwenye uchaguzi,mpumbavu badala afanye campaign kajifungia na madeed na tume kupanga crime huku anapoteza muda na kuloose battle ground,anataka kazi zote afanye mwenyewe,
Huyu mtu azibitiwe ataleta maafa kwasababu uelewa wake kwenye mambo ya kimataifa ni mdogo mno.
Una maakili sana ndugu. Huna ulichoacha. Tusipomdhibiti sasa imekula kwetu. Huyu ni kweli kabisa ana mawazo ya hao kina Gadafi and the like. Watanzania hii chance ya sasa tusiipoteze. Akirudi huyu hatakubali itokee tena sekeseke anayopitia sasa. Ndio hakuna rangi tutaacha kuona. Mbaya zaidi ni mtu wa visasi weee. Yani hajui kabisa UONGOZI.