Nyabutoro
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 1,342
- 1,596
Mungu akuongoze vyema kwa kuwaza mabaya, Rais ni mpakwa mafuta wa Bwana ukimuwazia kumuua unakuwa hulitakii mema Taifa, kumbuka JPM ni matokeo ya maombi ya watanzania wakilalamika kwamba JK amekuwa mpole sana.Makanisa na Misikiti watu wakaomba kupata Rais Mkatili, Mungu kajibu.Usiombe auawe, omba vizuri maana sala yako ikitimizwa ndio utajua maana ya MPAKWA MAFUTA ni nini.Namuombea maisha marefu JPM, abarikiwe, afunguliwe ufahamu, AMEN.
Mimi mwenyewe Msukuma kabisa na kama ningekuwa mtu wa kujipendekeza sasa hivi labda ningekuwa mkuu wa mkoa au mbunge wa kuteuliwa kutokana na ukaribu alikuwa nao mzee wangu na Magu, lakini simtaki kabisa mpaka ndugu zangu wanashangaa! Tumwue tu mzee jeuri sana huyu!