Miaka 5 tu kajenga mahoteli na uwanja wa ndege kijijini kwake akipewa 10 je si atahamishia na bahari ya hindi kwaoMadaraja yana ufisadi tenda zote wanapewa ndugu jamaa wa mtukufu kuna upendeleo kwenye ulaji wote pesa zinazunguka zinawarudia wenyewe kwa njia haramu na za kishetani
Watanzania hwapendi mambo ya chuki na unayanyasaji. Ni watu maskini lakini wanapenda amani na maelewano. Hiyo aliyataka kuwapandikiza chuki atatafeli mwenyewe na ameshafeli haamini.Kitendo cha kuminya demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi wapinzani ndicho kimepelekea mtukufu magufuli kuchukiwa na wananchi wengi
Tatizo sio kujengwa,tatizo ni pale anapotaka tuamini ni kwa pesa zetu, ukweli ni mikopo na misaada tu, ujenzi wa reli kukamilika ni 2026. Hilo bwawa mpaka ataondoka, tujulishe Deni la taifa 2015-2020 linganisha na 2010-2015.Duh.. Ujenzi wa reli ndo umeanza, mabarabara yote mapya mikoani na kwenye mitaa unasema zimejengwa enzi za kikwete. kweli wewe hujijui, Mungu akusamehe
Ukiona mtu anakataliwa ujue hafanyi mazuri kwa watu.
Heri niombee wagonjwa na wenye shida kuliko "shetani".Mungu akuongoze vyema kwa kuwaza mabaya, Rais ni mpakwa mafuta wa Bwana ukimuwazia kumuua unakuwa hulitakii mema Taifa, kumbuka JPM ni matokeo ya maombi ya watanzania wakilalamika kwamba JK amekuwa mpole sana.Makanisa na Misikiti watu wakaomba kupata Rais Mkatili, Mungu kajibu.Usiombe auawe, omba vizuri maana sala yako ikitimizwa ndio utajua maana ya MPAKWA MAFUTA ni nini.Namuombea maisha marefu JPM, abarikiwe, afunguliwe ufahamu, AMEN.
Manyanyaso ya mtukufu magufuli kwa miaka mitano ni makubwa hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anayataka yaendelee tenaKabisa mkuu huwezi ukafanya maovu chungu nzima kwa kutumia wadhifa wako ikiwemo mauaji, kauli zilizojaa ufedhuli, unyanyasaji, dharau, dhuluma, VITISHO na udhalilishaji wa Watanzania halafu utegemee raia wakupende. Kapanda chuki na roho mbaya sasa anavuna uovu wake.