Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata!
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V postive. Inashangaza! Unajiuliza, je, ameshindwa kwenda inbox kwa dada wa jana au uzi ulimpita hakuuona?
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V postive. Inashangaza! Unajiuliza, je, ameshindwa kwenda inbox kwa dada wa jana au uzi ulimpita hakuuona?