Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
sahihi lkn mi naona hiki kigezo kikuu kinawatosha we ukishakuwa na h.i.vlabda mmoja hajakidhi vigezo vya mwingine.....
Mkuu,sahihi lkn mi naona hiki kigezo kikuu kinawatosha we ukishakuwa na h.i.v
huhitajiki kuchagua sna
Nimekuelewa mkuuMkuu,
Usiwanyanyapae wenye HIV.
Yani kwa vile wana HIV ndiyo wasichague?
Unajua siku hizi HIV watu wanaishi nayo poa tu kwa dawa, lishe na lifestyle/mazoezi ?
Unajua wewe unaweza kufa ukawaacha hao unaowanyanyapaa kuwa wana HIV?
All is fare in the love and war.Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata!
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V postive. Inashangaza! Unajiuliza, je, ameshindwa kwenda inbox kwa dada wa jana au uzi ulimpita hakuuona?
Najiulizaga sana hii. Na wote wanataka wafatwe pm. Mtu mwny haja anafata hata wa kwenye comment kubahatisha. Inshort sio watafutaji hawaHapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata!
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V postive. Inashangaza! Unajiuliza, je, ameshindwa kwenda inbox kwa dada wa jana au uzi ulimpita hakuuona?
Nilichogundua kila mmoja anataka afuatweInawezekana hajaona Uzi wa mwenzio au vigezo havijaendana pia au Kila mtu anatak afwatwe😀
Na hii ndio maana ya halisi ya uhitajiNajiulizaga sana hii. Na wote wanataka wafatwe pm. Mtu mwny haja anafata hata wa kwenye comment kubahatisha. Inshort sio watafutaji hawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Mpaka Leo kumbe huvijui hivi viumbe,Huyo manzi matarajio yake atampata mwanaume mzima atakayejitoa Muhanga,na Sio mwathirika mwenzie.Believe me.
Basi ndio maana mkuu mmoja humu ndani mambo yao huwa anawachiaga wenyeweMpaka Leo kumbe huvijui hivi viumbe,Huyo manzi matarajio yake atampata mwanaume mzima atakayejitoa Muhanga,na Sio mwathirika mwenzie.Believe me.