Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ni kweliMaisha huwa hayakupi vyote unavyotaka na kuvipenda.
Maisha ya sasa yana demand both parties zichangie uchumi, wanacho ficha kwenye ujumbe ni mwanaume au mwanamke ambae analeta chochote. Sio wa kukaa ndaniMwanaume anadai natafuta mwanamke , mchakarikaji.
Na mwanamke anatafuta mwanaume mtafutaji
Kwa ushauri tu je usipo mpata mke mchakarikaji,au mwanaume mtafutaji.??
Wewe mtafute mtu tu unayempenda ndio muanze maisha maana maisha yanaenda ukitafuta mtu wako umtakaye .
Ninayempenda definitely tutatafuta tu maisha kwa njia moja au ingineUnique Flower wewe umempata yupi ?
Sawa kabisaMaisha ya sasa yana demand both parties zichangie uchumi, wanacho ficha kwenye ujumbe ni mwanaume au mwanamke ambae analeta chochote. Sio wa kukaa ndani
But you have a point, kama hujampenda you wont get anywhere
Sijarudi mume kasafiri so nipo freeDada maua swala lako la wewe kurudi na uliaga kuhudumia ndoa ,mimi bado sijalielewa kabisa.
Achana naye njoo kwanguNinayempenda definitely tutatafuta tu maisha kwa njia moja au ingine
Tatizo ni mtamuAchana naye njoo kwangu