Hii inamaana gani?

Hii inamaana gani?

Mwanaume anadai natafuta mwanamke , mchakarikaji.
Na mwanamke anatafuta mwanaume mtafutaji

Kwa ushauri tu je usipo mpata mke mchakarikaji,au mwanaume mtafutaji.??

Wewe mtafute mtu tu unayempenda ndio muanze maisha maana maisha yanaenda ukitafuta mtu wako umtakaye .
Maisha ya sasa yana demand both parties zichangie uchumi, wanacho ficha kwenye ujumbe ni mwanaume au mwanamke ambae analeta chochote. Sio wa kukaa ndani

But you have a point, kama hujampenda you wont get anywhere
 
Nimekuelewa Maua.

images (1) (1).jpeg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Maisha ya sasa yana demand both parties zichangie uchumi, wanacho ficha kwenye ujumbe ni mwanaume au mwanamke ambae analeta chochote. Sio wa kukaa ndani

But you have a point, kama hujampenda you wont get anywhere
Sawa kabisa
 
Back
Top Bottom