Hii inaonekana vipi katika hali ya kiroho?

Hii inaonekana vipi katika hali ya kiroho?

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,435
Reaction score
7,784
Hello!

Naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhusu kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa solution ni kuchoma, je unaichoma tu moto au kuna manuizi fulani unanuia like mimi na wewe tumemalizana kuanzia leo hatujuani.

kuna wale wanaona hii naweza ifanya dekio, je nayo imekaaje kudekia nguo yako iloisha kuna namna fulani unakuwa unajirudisha nyuma kiroho? inafaa kufanya hivo?

Kuna mtu amenipa kitu kipya leo nikaona nije niulize wajuzi.
 
Hello!

naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhus kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwez kuigawa solution n kuchoma,je unaichoma tu moto au kuna manuizi flan unanuia like mimi na ww tumemalizana kuanzia leo hatujuani,

kuna wale wanaona hii naweza ifanya dekio, je nayo imekaaje kudekia nguo yako iloisha kuna namna flan unakuwa unajirudisha nyuma kiroho? inafaa kufanya hivo?

kuna mtu amenipa kitu kipya leo nikaona nije niulize wajuzi.
Umeambiwa kitu gani?
 
Kwani ni lazima kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa?
 
mimi n mpenzi wa kuchoma nguo ambazo naona hizi hazifai kugawa nimekutwa nikifanya hivo ndio naambiwa nikichoma nachomaje, nikaelekezwa niwenanuia manuizi na nisipende kudekia mguo ambayo nilikua naivaa ikachakaa haifai kiroho ndio nataka kujua zaidi
Muulize huyo aliyekwambia haifai atakua ana nondo zaidi ila sisi nguo tushafanya madekio mara kibao na kahuna kitu kinatokea
 
Anhaa! mkuu we choma hakuna chakuogopa nguo uliinunua mwenyewe kwa pesa yako kama imeisha na unaamua kuichoma ndo vinaibuka vikao vya kiroho!, why..?
kama wenyewe hawachomi basi wawe wanazila wenyewe si waroho!.
 
au sio 😂😂😂 mpita njia kanikuta niko bize na kazi yangu hiyo ndio nikapewa lecture ya juu juu na harakaharaka
 
Vile utakavyo penda kuiamini unaweza kuipa maana na ukipotezea pia itakua haina maana tu.
kwa kweli sio kua nimeanza jana kuchoma no nishachoma sanaa sana na sjawah ona chochote kikitokea kwenye hii dunia ya macho ya nyama sjui huko kiroho
 
Back
Top Bottom