Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Hello!
Naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhusu kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa solution ni kuchoma, je unaichoma tu moto au kuna manuizi fulani unanuia like mimi na wewe tumemalizana kuanzia leo hatujuani.
kuna wale wanaona hii naweza ifanya dekio, je nayo imekaaje kudekia nguo yako iloisha kuna namna fulani unakuwa unajirudisha nyuma kiroho? inafaa kufanya hivo?
Kuna mtu amenipa kitu kipya leo nikaona nije niulize wajuzi.