Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
Umeambiwa kitu gani?Hello!
naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhus kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwez kuigawa solution n kuchoma,je unaichoma tu moto au kuna manuizi flan unanuia like mimi na ww tumemalizana kuanzia leo hatujuani,
kuna wale wanaona hii naweza ifanya dekio, je nayo imekaaje kudekia nguo yako iloisha kuna namna flan unakuwa unajirudisha nyuma kiroho? inafaa kufanya hivo?
kuna mtu amenipa kitu kipya leo nikaona nije niulize wajuzi.
haina maana kwa hiyo maana hili kwangu leo ni jipyaDah Africa kuna mambo mengi mno yana aminiwa na hii nikutokana na uchimi duni Mama Mwana na sio vinginevyo.
kabisa sasa nambiwa nisipende kuchoma nguo bila manuizi naona kama haijakaa poaMi nadhani ni Imani tu.
Nguo yenyewe utakuta ya mtumba waliotengeneza ni watu wa nje ya nchi na ilishavaliwa na mtu hata humjui.
haifai kufanya hivo kama utachoma nguo yako iko connected na mambo ya kiroho haswa yako manaa unakua unaivaa hivo ukichona nuia mimi na ww tumeachaa kuanzia leo sasa na kuidekia pia et unajirudisha nyumaUmeambiwa kitu gani?
Kwani ni lazima kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa?Hello!
naomba kuuliza hii imekaaje kwa wale wanaojua mambo ya spiritual, kuhus kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwez kuigawa solution n kuchoma,je unaichoma tu moto au kuna manuizi flan unanuia like mimi na ww tumemalizana kuanzia leo hatujuani,
kuna wale wanaona hii naweza ifanya dekio, je nayo imekaaje kudekia nguo yako iloisha kuna namna flan unakuwa unajirudisha nyuma kiroho? inafaa kufanya hivo?
kuna mtu amenipa kitu kipya leo nikaona nije niulize wajuzi.
mimi n mpenzi wa kuchoma nguo ambazo naona hizi hazifai kugawa nimekutwa nikifanya hivo ndio naambiwa nikichoma nachomaje, nikaelekezwa niwenanuia manuizi na nisipende kudekia mguo ambayo nilikua naivaa ikachakaa haifai kiroho ndio nataka kujua zaidiImani tu kwani usipochoma inakuaje??
fanyaje??Kwani ni lazima kuchoma nguo ambayo unaona imeisha na huwezi kuigawa?
Muulize huyo aliyekwambia haifai atakua ana nondo zaidi ila sisi nguo tushafanya madekio mara kibao na kahuna kitu kinatokeamimi n mpenzi wa kuchoma nguo ambazo naona hizi hazifai kugawa nimekutwa nikifanya hivo ndio naambiwa nikichoma nachomaje, nikaelekezwa niwenanuia manuizi na nisipende kudekia mguo ambayo nilikua naivaa ikachakaa haifai kiroho ndio nataka kujua zaidi
he is nowhere to be seen!Muulize huyo aliyekwambia haifai atakua ana nondo zaidi ila sisi nguo tushafanya madekio mara kibao na kahuna kitu kinatokea
Vile utakavyo penda kuiamini unaweza kuipa maana na ukipotezea pia itakua haina maana tu.haina maana kwa hiyo maana hili kwangu leo ni jipya
au sio πππ mpita njia kanikuta niko bize na kazi yangu hiyo ndio nikapewa lecture ya juu juu na harakaharakaAnhaa! mkuu we choma hakuna chakuogopa nguo uliinunua mwenyewe kwa pesa yako kama imeisha na unaamua kuichoma ndo vinaibuka vikao vya kiroho!, why..?
kama wenyewe hawachomi basi wawe wanazila wenyewe si waroho!.
kwa kweli sio kua nimeanza jana kuchoma no nishachoma sanaa sana na sjawah ona chochote kikitokea kwenye hii dunia ya macho ya nyama sjui huko kirohoVile utakavyo penda kuiamini unaweza kuipa maana na ukipotezea pia itakua haina maana tu.