Hii inasababishwa na nini?

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Nipo peke yangu Leo,jana nilikuwa na mamsapu na nilikula tunda vizuri,Cha ajabu Kuna kazi nilikuwa nafanya, ghafla uume umesimama ndindi,naona kama napata kero flavi hivi ukizingatia kuwa ntarudi home tena weekend I.Hali hii Huwa Inanikumba mara Kwa mara wakati mwingine hata nikiwa kwenye Dala Dala,unajikuta unapata aibu kusimama,ila kiukweli situmii muda mwingi kufikiri juu ya hayo mambo ila Huwa inatokea,lakini nikiwa home haitokei sana
 

Shinda na njaa uone kama itarespond
 
Unatamani tukushauri utafute tena leo mwanamke akutibu.

Piga punyeto itatulia.
 
Hata mimi pia hii kero ilinikuta nilipokuwa na manzi mmoja hivi. Yaani nikisex nae tu hiyo week mashine inasimama hovyo hovyo mno.
 
Siwezi kufanya huo upuuzi wa kupiga punyeto
Ndiyo nimekuelewa.
Sasa hapo piga punyeto kutwa mara tatu.
Saa 11 asubuhi, saa 8 mchana na usiku kabla ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…