Hii inasababishwa na nini?

Hii inasababishwa na nini?

Watu wa Dar wakiona hii thread wanajiuliza 'Hivi Ni kweli hayo mnayosema'?
 
Kama ofisini kwenu hawana Mambo mengi jaribu kwenda na wife, mchana unashtua kidogo.
 
ndipo 𝐝𝐨𝐩𝐚𝐦𝐢𝐧𝐞 inafanya kazi yake ndipo na imwagika kadri unavyopenda kitu fulani kila ukifanya inakuambia haitoshi, the more you indulge on something, the more the dopamine released.

info me at PM
 
Back
Top Bottom