mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kusema ukweli mkishindwa kwenye hoja nyote hukimbilia Kibela 😂 Mombasa vs Dar es salaam hoyeeeeAlistahili kujibiwa vile ndio maana nikamjibu vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli mkishindwa kwenye hoja nyote hukimbilia Kibela 😂 Mombasa vs Dar es salaam hoyeeeeAlistahili kujibiwa vile ndio maana nikamjibu vile.
True that Dar es salaam is the largest city in Tanzania and the 3rd Largest City in East Africa.Mombasa has nothing to loose in this, It is the second largest city in East Africa after all after Nairobi....
Phase 1 ishakamlika, hio unayoona hapo ni phase 2...When will it start? 😳 😀
Phase 1 ishakamlika, hio unayoona hapo ni phase 2...
Hebu cheki kitu utadhani ni Europe!
![]()
![]()
![]()
Phase 2 ambayo ndo iko na hayo madaraja ilianza kama miezi miwili iliopita, So far 9km za misitu/vichaka imesafishwa kuelekea huko baharini
![]()
![]()
![]()
Phase 1 ishakamlika, hio unayoona hapo ni phase 2...
Hebu cheki kitu utadhani ni Europe!
![]()
![]()
![]()
Phase 2 ambayo ndo iko na hayo madaraja ilianza kama miezi miwili iliopita, So far 9km za misitu/vichaka imesafishwa kuelekea huko baharini
![]()
![]()
![]()
That road leads to the bridge!!! and as you can see, the location where the bridge is to built has already been cleared!!! Kwahivyo rudi kul kwa thread ya ma hospitaly ukajiliwaze na ma video ya CCM 😂😂😂I asked a bridge roads every idiot builds!
Angalia na video pia!
Mombasa imetupiku kwa guyz tu.izo habar nyingine hawaziwezi Dar(bandari salama) ni next levelAki ya nani kutazama hiyo video hadi mwisho ni maumvu makali sana kwa mazombi, mamayoooo!! Mombasa hivi karibuni itaipikua Dar, hazitaendelea kuwa level moja kwa muda mrefu.
Inapendeza kiukweli na hii ndio vita tunayoitaka na sio vita za damu jumuhiya yetu iwe mfano kwa mataifa mengine ya afrika ....Phase 1 ishakamlika, hio unayoona hapo ni phase 2...
Hebu cheki kitu utadhani ni Europe!
![]()
![]()
![]()
Phase 2 ambayo ndo iko na hayo madaraja ilianza kama miezi miwili iliopita, So far 9km za misitu/vichaka imesafishwa kuelekea huko baharini
![]()
![]()
![]()
Aki ya nani kutazama hiyo video hadi mwisho ni maumvu makali sana kwa mazombi, mamayoooo!! Mombasa hivi karibuni itaipikua Dar, hazitaendelea kuwa level moja kwa muda mrefu.
Is there a red tar?The best road in Africa.. Japanese style,,
Its like iko JAPAN,
Darker tar
Kama zile zenu,,low quality zimepararaIs there a red tar?
Wakilink hizi bridge na ile ya Likoni, we can officially forget DAR because South coast will never be the same again.
Mbona Msa imewazidi kwa portDar tunajenga cable bridge ya 3
Kunanyingine tunajenga dar ya sgr ,sgr cable bridgeMkuu unaijua hii [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1258255
Wakenya mwakani siyo mbali .sije sema hatukuwaambia miladi yetu mingi itakuwa imekamilikaWapi Babaa ndio tunaanza Buda[emoji23][emoji23]
10 years ago gap kati yetu ilikuwa $9billion
Hivi Sasa gap kati yetu $49billion [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio sisi tulifika kikomo Ni nyinyi mlishindwa na mchezo [emoji23]LDC