Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua naogopa halafu nashangaa sana mtu anapokubaliana na mambo ya ajabu kama aliyosema huyo jamaa unaedai unakubaliana nae!
Niko mahal pote!But unaposema "humo" unamaanisha "umo" au unamaanisha "hujui"?
naunga mkono hoja.Nilikuwa naangalia CNN juzi walikuwa wanadadavua jinsi gani wazungu walikuwa wakiamini nchi kama China na nyingine nyingi za Asia kama India hazitakaa ziendelee na moja ya argument yao ilikuwa kwenye culture za hawa watu.
Lakini sasa hivi maendeleo walonayo China na nyingine zinazoibukia yameanza ku prove wrong hawa wazungu.
Hivyo hata wewe waweza usiwe hai pale Africa itakapo kuwa ina lead dunia...lakini inawezekana
Kutokuwa na imani na waafrika ni moja ya brainwashing za wazungu.
Ukiongelea uvivu kuna wavivu kama waharabu??? mbona wako juu??
Na ujue kuwa hali ya hewa ya joto inachangia watu kuchoka (wewe unakokuita uvivu)
Yeah BLACK BEAUTY AND I AM PROUD TO BE BLACK.
Kawaulize wale wanaishi karibu na mimi kama na matatizo, we unafikiria kila mtu ana matatizo hapa duniani....Wewe tueleze umejua vipi kama Yesu mweusi, na dalili zako ziko wapi.Tatizo lako nalijua . . . . . . . .!!