Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

Siitaji acknowledgement na refference toka kokote kule I am black confidence buku!
 
anyway!

Sioni kwa nini haya yanifanye nijipende zaidi.

Sijawahi jiona pungufu kwa specie yeyote.
 
Hua naogopa halafu nashangaa sana mtu anapokubaliana na mambo ya ajabu kama aliyosema huyo jamaa unaedai unakubaliana nae!

Usishangae, maana huo ni kukataa ukweli kwamba sisi wenyewe tuna matatizo. Siku tutakapo tatua matatizo yetu ndio tutakapoweza kusonga mbele. Nitaongelea mfano aliosema nyumba kubwa , ameeleza kitu cha muhimu ambacho kinahusu China, hii nchi imejaaliwa kila kitu in resources lakini miongozo ya mwanzo yalionyesha yana matatizo fulani ambayo yaliyumbisha sana, lakini walipokaa na kutatua hayo sasa tunawaangalia kwa mbali sana.

So its same thing that applies to us.
 
Last edited by a moderator:
Waafrika Wenyewe tunapeana Makavu
sitosahau Maishan Pale Nilipochangia mchango Wa Kifedha Kwenye Sherehe Fulani gafla Ktk Uingiaj Nikajikuta Nimeongozana Na Mzungu
Mlangon Nikasechiwa Mimi Cheti Cha Mwaliko Na Mimaswali Gunia,cha Ajabu Mzungu Hata Saut Hakutolewa!
 
Ina mana ulisha muona Jesus kama alikuwa mweusi, wacha kujidai eti Jesus alikuwa mweusi...Hakuna dalili ya aina yoyote inayosema, Jesus alikuwa mweusi au ana rangi gani.
 
Kuna kitu kinantatiza hapa; ni kuwa "Mwafrika" na kuwa "Mweusi". Watu wengi huwa tunachanganya haya maneno. Kwa upande wangu najua kuna Waafrica ambao ni weupe, hasa walioko jangwa la Sahara na tulio kusini mwa jangwa la Sahara ni weusi kwa asili (kuna makaburu Africa kusini ambao ni weupe lakini walikuja na kuwakuta weusi) .

Sheba ni Ethiopia ya sasa, na Israel ilikuwa ikiwasiliana sana na nchi za kiafrika ndani ya jangwa la Sahara kama vile Misri (ambao ni weupe kwa asili - waarabu). Ikumbukwe pia kuwa asili ya Wayahudi ni Uarabuni (Iraq) nchi ambayo inafuatia kwa Israel kwa kutajwa mara nyingi kwenye biblia bali inatajwa kama Mesopotamia.

Hapa unaweza ona ni kwa jinsi gani waarabu na waisraeli ni wanandugu. Sisemi kama Yesu alikuwa Mwafrika au la bali najaribu kufanya rejea ya historia ambayo inaonesha kuwa Waisraeli waliishi jangwa la Sahara (kwa waarabu) na kuwa na mahusiano na Wakushi (Kushites- watakuwa ni wasudan kama sikosei) na Wahabeshi (Ethiopians) ila sidhani kama Yesu alikuwa mweusi.

Biblia inatoa mfano wa mtu mweusi kuonesha uwepo wa watu weusi kwenye historia ya Wayahudi sikumbuki kitabu bali aya inasema hivi "....kama ilivyovigumu kwa chui kubadili madoadoa kwenye ngozi yake ndivyo ilivyovigumu kwa Mkushi kubadili rangi ya ngozi yake.... (Yeremia?) "

Kilicho mhimu hapa ni kujua kuwa umhimu wa mtu hautokani na mbari (race) anayotokea au ukoo anaotokea ndio maana hata koo za kifalme zina mazezeta. Mtu unatakiwa ujitambue wewe mwenyewe kwanza, hakuna mtu mhimu kama wewe dunia nzima. Tukilijua hilo mabadiliko yatapatikana. Lakini tukitegemea kuwa kwakuwa "yesu" alikuwa Mwafrika basi na sisi ni mhimu nadhani tutakuwa tunamtisha shetani kwa manati! Kuwa ndugu wa Usain Bolt hakukufanyi ukimbie kama yeye! Jaribu kusoma kitabu kimeandikwa na Prof. Musamali: The true history of africa"

Naomba kuwasilisha.
 
..how i micd u afrodenzi ..nitupie ua dear!






wish you a great weekend.

0010.gif
0003.gif
0010.gif
data



 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia CNN juzi walikuwa wanadadavua jinsi gani wazungu walikuwa wakiamini nchi kama China na nyingine nyingi za Asia kama India hazitakaa ziendelee na moja ya argument yao ilikuwa kwenye culture za hawa watu.

Lakini sasa hivi maendeleo walonayo China na nyingine zinazoibukia yameanza ku prove wrong hawa wazungu.

Hivyo hata wewe waweza usiwe hai pale Africa itakapo kuwa ina lead dunia...lakini inawezekana

Kutokuwa na imani na waafrika ni moja ya brainwashing za wazungu.

Ukiongelea uvivu kuna wavivu kama waharabu??? mbona wako juu??

Na ujue kuwa hali ya hewa ya joto inachangia watu kuchoka (wewe unakokuita uvivu)
naunga mkono hoja.
ni juzitu sikukuu ya nanenae imeisha. kati ya vitu vya kutia moyo ni innovations zilizofanywa na VETA na SIDO.
Hyo ni ishara kua ni seriousness na uzalendo tu tunahitaji ili kuweza kufanya mambo ya maana.
Waarabu hawana utaalama kiivo, ila wananunua utaalam na technolojia, wanatumia rasilimali zao kuijenga kesho yao
kwa mtu alieona ile dubai mega structure atakua shahidi.
na sisi wakati tunainvest katika elim ili kuwa na wataalam zaidi tunaweza kununua wataalam na technoljia na kuijenga nchi yetu.
 
Am proud of being afrkn bt me mweupe sa cjui itakuaje tho cjajichubua wala sio mzungu
 
Yeah BLACK BEAUTY AND I AM PROUD TO BE BLACK.

Black ya nafsi au muonekano? Black ya afrika ni black ya sura mpaka nafsi (roho)... Black mpaka maendeleo, ublack umetufanya tudhalau mpaka asili zetu na tamaduni
 
..what else can a man need from a woman.? Stay happy and blessed dearest afrodenzi
mmmwwaaahh
 
Last edited by a moderator:
mujemaso,umeongea maneno mengi mno.Hivi nani amekuambia Wamisri wa kale walikua Waarabu?Inaonekana una matatizo ya kihistoria hebu kasome historia upya!
 
Last edited by a moderator:
Ina mana ulisha muona Jesus kama alikuwa mweusi, wacha kujidai eti Jesus alikuwa mweusi...Hakuna dalili ya aina yoyote inayosema, Jesus alikuwa mweusi au ana rangi gani.

Tatizo lako nalijua . . . . . . . .!!
 
Kongosho hebu niambie,nywele zako kichwani zikoje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenipa ilmu leo....................

Wanasemaga eti,ilmu ni bahari,sasa sijui kwanini badala ya kupoteza hela kwaajili ya kulipa ada,watu wayanywe maji ya bahari ili wapate ilmu!Simple like to push a dranker!
 
Tatizo lako nalijua . . . . . . . .!!
Kawaulize wale wanaishi karibu na mimi kama na matatizo, we unafikiria kila mtu ana matatizo hapa duniani....Wewe tueleze umejua vipi kama Yesu mweusi, na dalili zako ziko wapi.
 
Back
Top Bottom