Nilikuwa naangalia CNN juzi walikuwa wanadadavua jinsi gani wazungu walikuwa wakiamini nchi kama China na nyingine nyingi za Asia kama India hazitakaa ziendelee na moja ya argument yao ilikuwa kwenye culture za hawa watu.
Lakini sasa hivi maendeleo walonayo China na nyingine zinazoibukia yameanza ku prove wrong hawa wazungu.
Hivyo hata wewe waweza usiwe hai pale Africa itakapo kuwa ina lead dunia...lakini inawezekana
Kutokuwa na imani na waafrika ni moja ya brainwashing za wazungu.
Ukiongelea uvivu kuna wavivu kama waharabu??? mbona wako juu??
Na ujue kuwa hali ya hewa ya joto inachangia watu kuchoka (wewe unakokuita uvivu)