Kawaulize wale wanaishi karibu na mimi kama na matatizo, we unafikiria kila mtu ana matatizo hapa duniani....Wewe tueleze umejua vipi kama Yesu mweusi, na dalili zako ziko wapi.
Yeap point yako safi sana, yeye anataka kusema kwa kuwa Yesu alikuwa mweusi kutokana na kauli yake, basi wanze kujithamini wale weusi, je kama Yesu ni mweupe yani wale weusi wajiweke daraja la chini :biggrin1:achia mbali hayo, hata kama alikuwa mweusi, itatusaidia kujithamini sie tunaomwamini.
Je kwa wasiomwamini, wajithaminije na weusi wao??