Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

achia mbali hayo, hata kama alikuwa mweusi, itatusaidia kujithamini sie tunaomwamini.

Je kwa wasiomwamini, wajithaminije na weusi wao??

Kawaulize wale wanaishi karibu na mimi kama na matatizo, we unafikiria kila mtu ana matatizo hapa duniani....Wewe tueleze umejua vipi kama Yesu mweusi, na dalili zako ziko wapi.
 
achia mbali hayo, hata kama alikuwa mweusi, itatusaidia kujithamini sie tunaomwamini.

Je kwa wasiomwamini, wajithaminije na weusi wao??
Yeap point yako safi sana, yeye anataka kusema kwa kuwa Yesu alikuwa mweusi kutokana na kauli yake, basi wanze kujithamini wale weusi, je kama Yesu ni mweupe yani wale weusi wajiweke daraja la chini :biggrin1:
 
tatizo ni kwamba watu weusi tuna uwezo mkubwa sana lakini tatizo lipo katika the how to use our mind nakujitumaa. weng wanataka mambo mazuri pasipo hard working.. jaman huwez kwenda pepon bila kufa.. huwez pata mafanikio ya kweli bila hard working
 
Back
Top Bottom