Hii inawezekana kweli wanajukwaa?

Hii inawezekana kweli wanajukwaa?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kwa sababu ya ugumu wa ajira serikalini na private sector.

Je inawezekana mwanachuo kuwa masomoni huku pembeni akawa anasoma ka ufundi stadi Kama kakujiegeshea kusaka pesa punde anapomaliza chuo huku akiisubir hio ajiri

Kama unafahamu he Ni koz gani ambazo hazi tumii mda mrefu na haziwezi kutumia mda Zaid na shule katika harakati za kuzidi kujiongezea thamani.
 
Kuna Program inaendesha na Shirika la Kazi inapeleka vijana kwenye vyuo vya ufundi hasa Don Bosco na wanapewa pesa ya kujikimu laki moja.

Mafunzo ni miezi 6 na field 3.

Unachagua course unayotaka.
 
Muda wa masomo wa mwanachuo pamoja na chuo husika ndivyo vinavyoamua upatikanaji wa muda wa ziada kwaajili ya shughuli zingine. Kama ni mwanachuo wa 'full-time', mara nyingi muda wa ziada huwa ni hafifu ukilinganisha na mwanachuo wa 'part-time'.

Hata hivyo, si vyuo vyote vinavyotoa mafunzo ya 'part-time'. Hapa nazungumzia vyuo vikuu ambavyo kwa kiasi kikubwa huwa vinatoa mafunzo ya 'full-time' pekee. Kusoma kozi nyingine nje ya chuo inawezekana kwa uzuri zaidi kwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya 'part-time'.
 
Kuna Program inaendesha na Shirika la Kazi inapeleka vijana kwenye vyuo vya ufundi hasa Don Bosco na wanapewa pesa ya kujikimu laki moja.

Mafunzo ni miezi 6 na field 3.

Unachagua course unayotaka.
Binafsi nilimaanisha wakati ukiwa unapiga slides za chuo unapata ujuz pia
 
Back
Top Bottom