Hii inchi ni ya wote, siyo CCM

Hii inchi ni ya wote, siyo CCM

Bapalidako

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
79
Reaction score
166
Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji wa kulipa kodi na hata utekaji na kuuwa watu

Sidhani kama waasisi wa Taifa hili ndiyo lilikuwa kusudi lao kwa kuiasisi inchi yetu yenye kila Aina ya utajiri,lakini linapotoke kundi linalopingana nao basi wanaonekana Kama wahaini, maana siku zote vyama vya upinzani ndiyo wako mbele kuwatetea wanainchi mfano mikataba mibovu kama bandari na mingineyo huku CCM ikiendelea kuwazulumu na kutumia nguvu kubwa za kuiba kura ili kuendelea kubaki madarakani

Imefikia hatua hata kwa raia hakuna uzarendo tena,watu wengine kwa kutokuwa wazarendo wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi, wenyewe kazi yao kusifia ujinga tu mfano wasanii,na kundi jingine ambalo ndiyo wazarendo wa inchi wamebaki wakiitwa wapinzani ambao wanawindwa kwa kutekwa kuteswa na hata kuuwawa,huku waliobaki wakijipa imani ipo siku itapatikana fursa hata ya kutokea tu mtu au kikundi hata inchi ya jirani yoyote ile itakayoivamia Tanzania kama kipindi kile cha Iddi Amini Dada wako tayali kuungana naye,ingawa ni hatari kwa mstakabali wa inchi,lakini sasa watu watafanyaje Kama Viongozi wao wanapigwa na kuzalilishwa, basi na mimi niko tayali nijilipue ingalau nife na kundi la polisi ili nao waonje utamu wa mauti

Mungu ibariki Tanganyika
 
Sidhani kama waasisi wa Taifa hili ndiyo lilikuwa kusudi lao kwa kuiasisi inchi yetu yenye kila Aina ya utajiri,lakini linapotoke kundi linalopingana nao basi wanaonekana Kama wahaini, maana siku zote time in a vyama vya upinzani ndiyo wako mbele kuwatetea wanainchi mfano mikataba mibovu kama bandari na mingineyo huku CCM ikiendelea kuwazulumu na kutumia nguvu kubwa za kuiba kura ili kuendelea kubaki madarakani

Imefikia hatua hata kwa raia hakuna uzarendo tena,watu wengine kwa kutokuwa wazarendo wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi wenyewe kazi yao kusifia ujinga tu mfano wasanii,na kundi jingine ambalo ndiyo wazarendo wa inchi wamebaki wakiitwa wapinzani ambao wanawindwa kwa kutekwa kuteswa na hata kuuwawa,huku waliobaki wakijipa imani ipo siku itapatikana fursa hata ya kutokea tu mtu ah kikundi hata inchi ya jirani yoyote ile itakayoivamia Tanzania kama kipindi kile cha Iddi Amini Dada wako tayali kuungana naye,ingawa ni hatari kwa mstakabali wa inchi,lakini sasa watu watafanyaje Kama Viongozi wao wanapigwa na kuzalilishwa, basi na mimi niko tayali nijilipue ingalau nife na kundi la polisi ili nao waonje utamu wa mauti

Mungu ibariki Tanganyika
Tuikatae CCM kila mahali!
 
Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia rasilimali zetu mfano kuingia mikataba mibovu,wizi wa rasilima za inchi, uuzaji wa madawa ya kulevya,ukwepaji wa kulipa kodi na hata utekaji na kuuwa watu

Sidhani kama waasisi wa Taifa hili ndiyo lilikuwa kusudi lao kwa kuiasisi inchi yetu yenye kila Aina ya utajiri,lakini linapotoke kundi linalopingana nao basi wanaonekana Kama wahaini, maana siku zote vyama vya upinzani ndiyo wako mbele kuwatetea wanainchi mfano mikataba mibovu kama bandari na mingineyo huku CCM ikiendelea kuwazulumu na kutumia nguvu kubwa za kuiba kura ili kuendelea kubaki madarakani

Imefikia hatua hata kwa raia hakuna uzarendo tena,watu wengine kwa kutokuwa wazarendo wamegeuka kuwa chawa wa Viongozi, wenyewe kazi yao kusifia ujinga tu mfano wasanii,na kundi jingine ambalo ndiyo wazarendo wa inchi wamebaki wakiitwa wapinzani ambao wanawindwa kwa kutekwa kuteswa na hata kuuwawa,huku waliobaki wakijipa imani ipo siku itapatikana fursa hata ya kutokea tu mtu au kikundi hata inchi ya jirani yoyote ile itakayoivamia Tanzania kama kipindi kile cha Iddi Amini Dada wako tayali kuungana naye,ingawa ni hatari kwa mstakabali wa inchi,lakini sasa watu watafanyaje Kama Viongozi wao wanapigwa na kuzalilishwa, basi na mimi niko tayali nijilipue ingalau nife na kundi la polisi ili nao waonje utamu wa mauti

Mungu ibariki Tanganyika
Mods naomba kichwa cha habari kisomeke hii ichi ni ya wote siyo ya CCM
 
Back
Top Bottom