Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000.
Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni original.
 
Nikiingiza IMEI Kwenye mtandao zinakubali,hata kama wamenipiga bei nashukuru ni Og
 
Moshi mjini kuwa makini sana. Naona wahuni wa kariakoo wanavamia kwa kasi. Nilinunua Tecno H6 wakati zinaingiaingia wakaniambia ni Og. Huwezi amini TCRA waliizima ni wiki tu baada kununua.
Ntajuaje ni fake sasa maana mimi nikinunua simu naangalia tu upya wake, imetoka kwenye box basi?
 
Nikiingia Instagram wengine hapo dar wanauza 420,000, wengine 350,000 Sasa tofauti kubwa hivyo ni ya nini na bidhaa ni hiyo hiyo?
 
Nikiingia Instagram wengine hapo dar wanauza 420,000, wengine 350,000 Sasa tofauti kubwa hivyo ni ya nini na bidhaa ni hiyo hiyo?
samsung refurbished vs mpya OG. unafuu nafuu toka nduki. kwa hiyo bei hujapigwa umeuziwa kwa market price na original am sure
 
Naam mana nilizunguka maduka mengi wanacheza 480 mpaka 530,000 huyo mmoja ndio alikua chini zaidi
samsung refurbished vs mpya OG. unafuu nafuu toka nduki. kwa hiyo bei hujapigwa umeuziwa kwa market price na original am sure
 
Back
Top Bottom